Rais Magufuli: Nimealikwa sehemu nyingi sijaenda

Sexer

JF-Expert Member
Oct 22, 2014
8,369
8,072
"Mimi sipendi sana kusafiri sababu napenda sana kubana matumizi, nimealikwa sehemu nyingi nimealikwa ulaya na sehemu zingine lakini bado sijaenda. Nilipoalikwa na Rais Kagame nimekuja. Nataka niwaeleze ndugu zangu wana Rwanda hii ndiyo safari yangu ya kwanza" Rais Magufuli

Neno moja kwa Rais Magufuli.
 
Tuseme umelipiwa hadi nauli hautosafiri kama nchi iko poa usisafiri mwaya baki tu hapa tz maana ulienda nje wapigaji faster watakiwahi.
 
Back
Top Bottom