Only in AfricaRais Magufuli amesema alikuwa anataka kwenda kupiga kura lakini amesikia katika mtaa wao mgombea amepita bila kupingwa.
Rais Magufuli amesema hayo akiwa ibadani katika Kanisa katoliki la mt Imaculata, Chamwino Dodoma.
Dr Magufuli aliwataka waumini ambao uchaguzi unafanyika katika mitaa yao wakawachague wagombea wanaowapenda kwani Maendeleo hayana vyama.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Amina kwa ujumbe wako.Kiongozi wetu mkuu na wapambe wake wafanye toba,bila kusahau viongozi wa dini wanafiki mfano Rais wa TEC ,wakatoliki.Kiongozi akikosa, amekosa tu, kumpamba ni kumdanganya. Rais ametukosea sana Watanzania kwa kuharibu uchaguzi wa kidemokrasia kisha kututeulia wenyeviti wa mitaa, vitongoji na vijiji. Anahitajika nabii Nathan kumwambia Mfalme ukweli machoni: "Mtu huyo ni wewe."
Kusimama mbele ya madhabahu na kusema aliyoyasema Ni kumdhihaki Mungu huku akijua kuwa alichofanya kinahitaji Toba ya dhati.
Msimlaumu sana inawezekana mwanzo hawakumwambia mwenyekilti wao kwamba chama chake kimesha pita bila kupingwa, ndio maana serikali anayoiongoza ikatowa pesa kwa ajili ya uchaguzi. Lakini wakaja kumwambia siku ya uchaguzi tena akiwa kanisani hivyo akaona hakuna haja ya kwenda kupiga kura.Rais Magufuli amesema alikuwa anataka kwenda kupiga kura lakini amesikia katika mtaa wao mgombea amepita bila kupingwa.
Rais Magufuli amesema hayo akiwa ibadani katika Kanisa katoliki la mt Imaculata, Chamwino Dodoma.
Dr Magufuli aliwataka waumini ambao uchaguzi unafanyika katika mitaa yao wakawachague wagombea wanaowapenda kwani Maendeleo hayana vyama.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Kama ni kweli Raisi alisema hivyo basi hapo alikosea sana Kwa sababu watu walio pigia kura upinzani walipiga Kwa kuchoshwa na mafisadi kwenye serikali ambao hadi yeye raisi ana sumbuka nao kuwapiga vitaKama maendeleo hayana Chama, yule mama wa wilaya ya Momba mkoani Songwe aliomba maji na ukamjibu amuombe aliemchagua ambae ni mbunge wa chadema na madiwani wake au sio wewe mzee baba!?
Labda anazungumzia mungu mzungu mwenye hayo makanisa ya kibinadamu yaliyo fanyika Kwa mikono ,si Mungu wa kanisa lisilo fanyika Kwa mikono ambalo yesu kalilidhiaUtapeli gani?!
Kanisa katoliki la mitume wameona hiiKama maendeleo hayana Chama, yule mama wa wilaya ya Momba mkoani Songwe aliomba maji na ukamjibu amuombe aliemchagua ambae ni mbunge wa chadema na madiwani wake au sio wewe mzee baba!?
huwezi kuuona wewe mwana uvccmUtapeli gani?!
mi siwezi kumruhusu kukanyaga kwenye kanisa langu
Enzi za mwendazakeRais Magufuli amesema alikuwa anataka kwenda kupiga kura lakini amesikia katika mtaa wao mgombea amepita bila kupingwa.
Rais Magufuli amesema hayo akiwa ibadani katika Kanisa katoliki la mt Imaculata, Chamwino Dodoma.
Dr Magufuli aliwataka waumini ambao uchaguzi unafanyika katika mitaa yao wakawachague wagombea wanaowapenda kwani Maendeleo hayana vyama.
Chanzo: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Mungu kamchapa Bakora huyu Msanii.Rais Magufuli amesema alikuwa anataka kwenda kupiga kura lakini amesikia katika mtaa wao mgombea amepita bila kupingwa.