Magufuli: Nikiwa Waziri nilinyweshwa sumu na viongozi waliochukia utendaji kazi wangu, nilitaka kujiuzulu

Amen, blessed for this strong message

Wasaliti wa Nchi wamebaki kama vichaa hawajui washike lipi
CCM wanafanya usaliti uonekane ni kitu cha kawaida sana. Mtu akishauri tofauti na walichotegemea basi wao ni msaliti. Nikisema simpendi JPM basi nageuka kuwa msaliti. Sijui wale wenye nia ya kupindua serikali au kumng'oa mwenyekiti wao watawapa jina ghani.
 
Hongera Rais Mkapa kuzindua kitabu, happy birthday Benjamin William.
Miaka 81 si haba. Tutakisoma na tuna mengi ya kujifunza kwenu kwa mengi mliyofanya hususan katika utumishi wa umma.

Mungu ni mkuu, ulinzi wake juu yako Mhe. Rais JPM unatupa kumshukuru yeye kwa kukuepusha na nia ovu juu yako.

kazi yako njema Watanzania tunaithamini na tunakuombea uzidi kuwa na afya njema ili utumishi wako uwe na tija kwa Watanzania
 
Naamini kuna siku Lissu atatoa ushuhuda huu katika muktadha kama huu au pengine. Kusudi la Mungu halipingiki. Tunamshukuru Mungu kwa kututunzia Mh. Magufuli na sasa ni Rais bora kabisa
 
35 Reactions
Reply
Back
Top Bottom