Rais Magufuli: Nikihamia Dodoma nitauza nyumba zote za Serikali Dar es Salaam

ForeverMore

JF-Expert Member
Nov 12, 2014
694
1,000
Mi naona badala ya kutupa accusations kushoto na kulia, ni vizuri na sisi tukajielewa kidogo.

Kwanza, Yes swala la kuhama kuna uwezekano ka kurupuka ila je do we know for sure kuwa kurupuka na siyo kuwa ni miongoni mwa mipango yake aliyojiwekea?

Pili, tumesha jiuliza au kuorodhosha faida na hasara za serikali kuhamia Dodoma. Maana unaweza kuwa na point zako mbili za hasara kumbe kuna point 7 za faida.

Tatu, nimeona watu wengi wanauliza Raisi katusaidia nini kama nchi mpaka sasa hv. Kusema kweli jamaa kuna sehemu kazingua, lakini kama hujaona faida hata moja kwa kipindi alichokuwepo, kweli una matatizo. Yaani hata swala la wafanyakazi hewa ujaliona? Au sakata la kumtumbua jamaa aliyekuwa na nyumba 70. Au ndo tusha sahau.

In my opinion, Watanzania tumeishi ki magumashi kwa muda mrefu sana mpaka tumechukulia kama ndo maisha yalivyo. Mabadiliko siyo rahisi ndo maana wezetu wanasema kuna 4 stages za mabadiliko (Denial, Resistance, Exploration and Commitment) google kwa maelezo zaidi.

Mfano ndo hili swala la kuhama, wengi bado wapo kwenye Denial stage, ndo sisi wenzangu na mie tuna lalamika tu humu ndani, ambao wamefika stage ya mwisho, wanashughulikia uwekezaji sasa hv Dodoma huko. Baadaye tutaanza kulalamika kuwa walipataje maeneo mazuri au makubwa, au wale wanabiashara kubwa wamekaba sector kwa sisi tunaotaka kuanza.

Wakati wa kuanza ndo huu, changamsha kichwa, hata biashara ya kuuza mchele kwa jumla itakulipa kule.
 
Mungu Mweusi

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
1,472
2,000
Hello friends; I Nyamoni Warioba from Tanzania, I have been nominated for the YOUTH CITIZEN ENTREPRENEURSHIP Competition in the Best Idea 2016 Category. I would be happy if you support my idea with Comments and Votes. You can support my Ideas by:

a) Voting for it

b) Commenting and Giving positive feedback that can help to improve my project. Go to this link. www.entrepreneurship-campus.org/ideas/4/ click Best ideas 2016 then click VOTE FOR BEST IDEAS, all Nominees names will appear and then Select idea titled "EMPOWERING GIRLS THROUGH FORMING A FOOTBALL TEAM" you will see the name NYAMONI WARIOBA with a Ball photograph attached, Just click VOTE at the Orange bar.

" Please I need your Votes for winning this competition" Your votes and comments will be valued; VOTING deadline will be 31/08/2016. Please share with friends groups.
 
mbeziboy

JF-Expert Member
Oct 2, 2010
1,502
2,000
Huyu jamaa washauri wake wanakula hela ya bure tu wanashindwa kumshauri vitu vingine si vya kuzungumza au wapo tu kama masanamu ya nyumba za makumbusho

Tatizo sio washauri...tatizo ni kwamba hashauriki. Hotuba anaandikiwa...hazisomi.
\
 
ForeverMore

JF-Expert Member
Nov 12, 2014
694
1,000
Swala la kuuza nyumba za serikali zilizopo dar kuna faida na hasara.
Hasara moja wapo ni kipindi wakija Dar kwa shughuli yoyote je watakaa hotelini?

Lakini pia, shughuli za namna hiyo zinaweza kuwa ngapi kwa mwaka? Shughuli ambazo haziwezi wanyika dodoma. Na gharama ya kuzi maintain hizo nyumba VS gharama ya kukaa hotelini ipi nafuu.

Pia, kuna option nyingine angeweza kufanya ikiwemo kama mdau mmoja alisema, kuingia ubia na NHC na kuzipangisha hizo nyumba.

Kwa hiyo mi naona kuna options nyingi mno, ishu nikuwa hajatoa maelezo kwann kafikia uwamuzi wa kuziuza. Je hajui hizi option nyingine au wamezipitia na kuuza ikaonekana bora zaidi.

In short, hatuna information za kutosha kupinga au kuunga mkono uwamuzi wake. Tuache longolongo na tuombe taarifa zaidi
 
Freeland

JF-Expert Member
Jan 24, 2012
14,488

Wazo la kuuza limemjia jukwaani
 
pinochet

JF-Expert Member
Jun 16, 2011
345
225
Huyu mzee awe anaandikiwa speech mambo yakujidai anatiririka ndio anaongea vitu visivyokwenye mipango ya serikali..
Siku atakuja kutafuta mchawi nani. TUPO"
Mkuu hiyo ni kweli kabisa.......sasa yaonekana naongea na vitu ambavyo havipo kwenye ilani ya chama cake.....
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom