Rais Magufuli ni quality na siyo quantity, ushahidi

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,786
Awamu hii ya tano imejidhihisrishia kwamba wao ni watu wa quality na siyo Quantity au kwa kikwetu tunawekeza zaidi kwenye ubora na siyo uwingi tu wa vitu, mfano hai watu wanapiga kelele mizigo kupungua Bandarini ambapo ni kweli lkn kwa mujibu wa TRA tunakusanya mapato mengi zaidi kuliko hapo mwanzo hivyo hapo utaona ni quality na siyo quantity, hata kwenye Utalii itakuwa hivyo hivyo watakuja watalii wachache kiasi lkn wenye uwezo mkubwa wa kifedha na siyo wengi lkn wasiokuwa na fedha za kutumia, hivyo hata hapa pia ni quality na siyo quantity!

Raisi Magufuli ni genius, na mtu genius huchagua watu magenius pia!

Hii ndiyo TanZania mpya bhana!
 
Angekuwa genius angeomba ushauri wa jinsi ya kununua vindege vidogo kwa Kagame?

Angekuwa genius bei ya sukari huu ingekuwa 3000 kwa kilo?

Angekuwa genius dola moja ya kimarekani ingeuzwa kwa shilingi 2200 za kitanzania?

Angekuwa genius asinge changisha michango ya madawati wakati fedha za elimu bure zimeshatumwa mashuleni?

Angekuwa genius asinge chaguliwa kuwa mwenyekiti wa ccm hadi sasa?

Angekuwa genius angewakamata mafisadi bila kujali cheo, tabaka, au chama na kuwafikisha kwenye vyombo vya sheria.

Itaendelea...
 
Sikukuu njema mkuu Barbarosa. Napenda uandishi wako kwa sababu siku zote unachokoza fikra za watu hivyo mjadala unakuwa mrefu na wanaofaidika ni wengi. Wadau hutafuta cha kuongea ambacho ni negative, wanaongelea suala la sukari, likipatiwa utatuzi watahamia kwenye suala la Lugumi, likitatuliwa watahamia kwenye suala la mtoto wa mkuu wa nchi. Waliongelea suala la fedha za MCC, baadae wamarekani hao hao wakatoa fedha nyingine nyingi tu, kimya kimya wakaamua kuachana na issue hiyo ya wamarekani.
Yaani nafsi zao siku zote hutafuta kitu kibaya cha kuongelea.
 
Awamu hii ya tano imejidhihisrishia kwamba wao ni watu wa quality na siyo Quantity au kwa kikwetu tunawekeza zaidi kwenye ubora na siyo uwingi tu wa vitu, mfano hai watu wanapiga kelele mizigo kupungua Bandarini ambapo ni kweli lkn kwa mujibu wa TRA tunakusanya mapato mengi zaidi kuliko hapo mwanzo hivyo hapo utaona ni quality na siyo quantity, hata kwenye Utalii itakuwa hivyo hivyo watakuja watalii wachache kiasi lkn wenye uwezo mkubwa wa kifedha na siyo wengi lkn wasiokuwa na fedha za kutumia, hivyo hata hapa pia ni quality na siyo quantity!

Raisi Magufuli ni genius, na mtu genius huchagua watu magenius pia!

Hii ndiyo TanZania mpya bhana!
Magufuli ni chaguo la Mungu!
 
Amejaza wagala kutoka majaliwa mpaka madas je nikweli 18%ndio tulip na elimu acheni hizo nchi hii yetu soye
 
Sas
Sikukuu njema mkuu Barbarosa. Napenda uandishi wako kwa sababu siku zote unachokoza fikra za watu hivyo mjadala unakuwa mrefu na wanaofaidika ni wengi. Wadau hutafuta cha kuongea ambacho ni negative, wanaongelea suala la sukari, likipatiwa utatuzi watahamia kwenye suala la Lugumi, likitatuliwa watahamia kwenye suala la mtoto wa mkuu wa nchi. Waliongelea suala la fedha za MCC, baadae wamarekani hao hao wakatoa fedha nyingine nyingi tu, kimya kimya wakaamua kuachana na issue hiyo ya wamarekani.
Yaani nafsi zao siku zote hutafuta kitu kibaya cha kuongelea.
Sasa mbona mlikuwa mnasema hamtaki misaada sasa
 
G

Naam! Na mazuri yanayofanywa na serikali wao huyageuza yaonekane mabaya. Shame on them! Hao jamaa hawaishi kutafuta majukwaa na kukosoa kila kinachofanywa na serikali ya awamu hii mpaka tunabaki kujiuliza endapo wao ndio wageshika uongozi wangefanya kipi cha maana?
 
Kifungu no:6 Nakupa pongezi mchangiaji! unapoacha Mafisadi Akina Chenge.. Ngereja! Tibeijukya za mboga milioni 10! na Kulinda wastaafu!!!! kwenye jukwaa unahadaa watz na ulimwengu! Baada ya kutambua vipele na majipu na kufilisi ni sawa na kuzima bunge live mpiga Kura asione unamwakilishaje ktk huduma!! na ukirudi kumwomba Kura anakuuliza nikupe yanini wakati hapa tz uliniibia gizani!! unaenda uingereza kuuliza watz wang'ambo tuonyeshe bunge tusionyeshe? cc hatutoi Kura lini Tz ikageuka uingereza? KAMA bunge likionyeshwa watu hawafanyi kazi!!! familia ngapi mlizipelekea chakula? cku ya u chaguzi tutagoma mjichague tuone'take auction.Magu bunge lipekupunguzia kama 79 % tuma usalama wa Taifa huku chini usikie!! Ccm baadhi Yao mambo unayofanya Wengi wanapinga huku mtaani!
 
Sas

Sasa mbona mlikuwa mnasema hamtaki misaada sasa
Hakuna nchi duniani yenye uwezo wa kujitegemea kwa asilimia mia moja. Awamu ya tano inabebwa na jeuri ya kujitegemea na kukataa kulamba miguu ya matajiri, utu wetu hauwezi kuwekwa rehani eti kwa sababu ya shida za kiuchumi.
 
Nyongeza: Mamlaka zilizowekwa na mungu hazipingani na kauli za watu wa mungu
Mkuu Mingoi achana nao, nadhani hawa hawajui kama hata miungu nao huchagua viongozi; sasa ni afadhali wangetueleza kama ni lini walikutana na Mungu akawakubalia kwamba alihusika kutuwekea viongozi na sio miungu kama wengine wanavyofikiri? Kumhusisha Mungu katika jambo ambalo hata huna uhakika nalo ni dhambi kubwa sana!
 
Wengi hamjamwelewa mletaMada. Nimeipenda hiii watalii wachacheee mipesa hiyooo
 
Back
Top Bottom