Rais Magufuli, ni muda muafaka kutoa tathmini ya Shughuli za maendeleo kwa miezi 9

tajirijasiri

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
2,864
3,851
Ni utaratibu wa Kawaida Duniani kote, kutoa tathmini ya utekelezaji wa Shughuli mbalimbali kwa miezi mitatu (quarter), miezi sita (half) na mwaka (annual). Ni miezi 9 sasa tangu Rais Magufuli aingie madarakani. Hivyo ni vizuri sasa kutupatia tathmini ya uekelezaji wa Shughuli za maendeleo, badala ya kulalamika na kufoka majukwaani kusikoisha.

MWAKA NDIO HUO UNAISHA.

Zingatia.

CC: Rais Magufuli.
 
Back
Top Bottom