Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 34,671
- 40,913
Nadhani mambo mengine sio lazima Rais afanye, mnamchosha huyu mzee.
Ipo haja watu wakajifunza kuwajibika vyema katika nafasi zao.
Watendaji wote, Ma RC, DC, DED, jamani kuna haja ya kufanya mambo kwa weledi, kero hizi za kila siku mpaka Rais afanye ziara hazina tija.
Kazi ambayo Magufuli pia inapaswa aifanye kwa nguvu kubwa Sana ni kutengeneza mifumo imara ya utendaji, ili akimaliza muda wake awe amaecha legacy nzuri.
Mifumo imara ni bora zaidi.