Rais Magufuli ni mfano hai wa 'nabii hakubaliki kwao'. Nchi nyingi zinamtamani, Watanzania tusiipoteze zawadi hii

Mkuu, Magufuli anabebwa na Wananchi wengi,ni wachache mno mliokuwa manavuna hata mahali msipopanda Ndiyo mnaolopoka kwenye mitandao na Ndiyo hao wanaomchukia, Wale wanyonge waliokuwa wanaishi Kwa utashi wa wanyonyaji wachache, ndio watakaompa Kura za ushindi wa kimbunga JPM na Mimi nikiwemo

Asubuhi saa 4 tushatamgaza ushindi wa JPM burudoza
Pamoja paul sylvester 5tena
 
Yesu Kristo hakukubalika kwao (Siyo wote waliomkataa) wakamuua akaleta ukombozi, Musa hakukubalika wana waislael ( Siyo wote waliomkataa) walitamani warudi utumwani misri ila mungu akamuongoza musa akawatoa huko kwenye shida, Sasa kwa Tanzania Mungu ametuletea Kiongozi mwenye maono na uchungu wa watanzania wanyonge wanaoonewa kwa kunyonywa na mabeberu, sasa wale jamaa zetu ambao mirija imekatwa wanahaha wanafanya kila hila ili wamchafue, lakini mungu anazidi kusema na watanzania kwa kuona matendo yake, machozi yanatutoka tunajifuta na kusema hakika huyu ndiye tuliyekuwa tukimsubili na 28/octoba/2020 kura zote zinasoma kwakwe 98% ya kura Ni ndiyo kwa CCM na kauli mbiu yetu KAZI INAENDELEA...
Majina ya Yesu mara Musa ni watu na habari za kusadikika zusizo na uthibitisho,usifanye arguments kwa kutolea mifano hiyo.
 
Nilichoandika mimi kuna waliokielewa sana na Kuna waliokielewa ila wanakataa ukweli sababu wanataka niandike wanachokitaka wao
Kwamba Watu wanamchukia Magufuli? Kwamba Watu wakitofautiana mtazamo na CcM ni wapiga deal? Aagh wapi! Waelewe hao hao tu! Tusichonganishe watu, maneno yenu haya hayana maana wala hayasaidii
 
Kwamba Watu wanamchukia Magufuli? Kwamba Watu wakitofautiana mtazamo na CcM ni wapiga deal? Aagh wapi! Waelewe hao hao tu! Tusichonganishe watu, maneno yenu haya hayana maana wala hayasaidii
Hahaha sijachonganisha ila sijaongea ulichokitaka. Pole
Mungu ibariki Tanzania
 
Magufuli hakubalik kwa Wahuni pekee kwa Wenye macho na wenye Akili timamu wanamukubali Sana Tena Sana.

Nenda hata YouTube search watu Kama kina Mbowe na Zitto Kabwe uone wanavyo mkubali Rais Magufuli (Ref: speach zao walipotembelewa na Rais Magufuli Majimbon kwao).
Hiki unachokiona hapa jf na huko Kwenye mitandao mingine ni unafiki maana ndo tabia ya Watanzania.
Mambo ya analysis waachie wajuzi wafanye, majitu majinga huwa mnapaswa kushangilia tuu.
 
Kwa kifupi tu magu ameboronga katika mambo mengi sana ila tu anabebwa na dola. Kuna yaliyojificha mengi ambayo hayapendezi hata machoni pa mwananchi wa kawaida, ndiyo yatakayomgharimu mwaka huu, na ulimwengu utashangaa.
Tutajie hayo yaliyojificha tuyajue.
 
Hahaha JAZBA Ikowapi😂😂😂
Kama hajakufanya kitu mbaya basi mwache. Usiogope. Usiwe na hasira na comments za wengine
Hahahaha sijawahi kuwa na hasira na comments za Watu, najua maana ya mjadala! Sijawahi kuogopa na sitakaa niogope eti
 
Magufuli hakubalik kwa Wahuni pekee kwa Wenye macho na wenye Akili timamu wanamukubali Sana Tena Sana.

Nenda hata YouTube search watu Kama kina Mbowe na Zitto Kabwe uone wanavyo mkubali Rais Magufuli (Ref: speach zao walipotembelewa na Rais Magufuli Majimbon kwao).
Hiki unachokiona hapa jf na huko Kwenye mitandao mingine ni unafiki maana ndo tabia ya Watanzania.
Hakika
 
Tatizo ni moja utasemaje unabii wakati watu wanapotea na kuuliwa chini ya uongozi wake? Nabii wa Mungu au
 
Watu wanavimba na kupasuka kusoma maoni tofauti na ya wengine, jamani si tunahubiri demokrasia, basi tuvumiliane katika hili. Huu ni wakati wa kuwavumilia wale walio tofauti na wewe ki-itikadi.

Ukimuona Membe anafaa, wengine wanaona Lissu ndio kila kitu na wengine wanaamini Magu is the real deal. Miaka mitano kwa Magu...
 
Back
Top Bottom