Rais Magufuli ni mfano hai wa 'nabii hakubaliki kwao'. Nchi nyingi zinamtamani, Watanzania tusiipoteze zawadi hii

20210409_075024.jpg
Screenshot_20210408-210000.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasiompenda JPM ni wale wachawi, wenye hirizi na majini kwasababu JPM alikua mtu wa Mungu hawezi kupendwa na wachawi.

Wala usijihangaishe ukiona mtu hampendi JPM au alikua hampendi JPM ujue ni mchawi. Wale wote wenye hirizi viunoni hawawezi kumpenda JPM hata mara moja kwasababu JPM alikua akihubiri habari za Mungu.

Mchawi yeyote huwa hapendi mtu anayehubiri habari za Mungu. Mchawi yeyote hufurahi mhubiri wa habari za Mungu anapokufa.

Watu wenye mapepo hawawezi kumpenda JPM hata mara moja. Mimi naelewa sana jinsi haya mambo yalivyo. Kuna watu wamepata vyeo kwa kutumia hirizi na wengine wamepata uongozi kwa kupitia mapepo. Na wengine wamepata uongozi kwa kupitia majini. Kuna watu wamefuga majini sasa watampendaje mtu anayehubiri ufalme wa Mungu.

Hayo yalisha nitokea sana nikiwa nahubiri na kuitangaza injili.
Jaribu kutafakari kwenye mkutano wa JPM hakuwezi kukosa watu wenye hirizi viuoni. Sasa akisema Mungu hoyee hirizi zinaanza kushituka.

Hata Petro na Yohan walipokuwa wakitaja juu ya ukuu wa Mungu walipata upinzani mkubwa kutoka kwa wachawi. Wachawi hawakupenda zile habari za akina Petro na Yohan zilizokuwa zikitaja juu ya ukuu wa Mungu zikiambatana na nguvu ya Mungu aliyeziumba mbingu na nchi.
Hata kama amefariki lazima tuseme ili waliopo wajifunze

1. Alikuwa mtu mwenye roho mbaya, mshenzi, muuaji na aliyependa kuona watu wenye maendeleo au waliotofautiana nae wakiteseka sana. Mfano wa haya ni kwa vile walivyowafanyia Manji, Erick Kabendera, Ben saanane, Rwabaje, Mama yake Erick Kabendera, Mdude Nyangali, Zacharia na watu wengine wengi

2. Alikuwa mtu Mbinafsi sana, aliyependa sifa zote zirudi kwake. Alipenda kusifiwa, kuonekana yeye ni bora kuliko wenzake. Hata kwenye hotuba zake alipenda kujionesha ni yeye zaidi na wala sio wenzake. Rejea hotuba alizokuwa akisema bila yeye miradi haitofanikiwa. Aliwapa vyeo bila aibu watu waliokuwa wakimsifu yeye binafsi. Mf. Katambi, Sabaya, kafulila, Mrema, Babu

3. Alikuwa mkabila na mbaguzi wa kikanda aliyetukuka. Kwenye awamu yake alijaza watu wa kanda ya ziwa hasa wasukuma na mapandikizi wenzake kutoka Rwanda na Burundi kwenye nafasi nyeti serikalini. Bashiru, Kakoko, Doto James na wengineo wengi ni mifano michache tu. Hawa watu walikuwa hawagusiki na waliweza kufanya lolote lile kwa jina lake na yeye hakusema lolote. Hawa watu waliweza hata kuwadharau waziwazi Waziri Mkuu na Makamu wa Rais na wala hawakujali mfumo wa utendaji serikalini. Waliweza kupiga simu au kupita moja Kwa moja ikulu hadi kwa Magufuli bila kupita kwa waziri, waziri mkuu au hata Makamu wa Rais.

4. Kwa kujua kwake kuwa ni kweli aliharibu uchumi wa nchi kwa sera zake mbaya, aliwekeza sana kwenye propaganda za kujitangaza sana kupitia vyombo vya Habari ili kuwa brainwash watu wasiofikiri vizuri. Tv zote, magazeti, blogu na hata viongozi wa dini aliwatumia kumtangaza yeye muda wote na kumsifu yeye muda wote ili aonekane ni Bora kuliko wenzake. Ofisi za Taifa zilifanywa kutengeneza data za uongo ili aonekane anafanya vizuri kumbe nchi ilikuwa inaenda pabaya sana. Rejea taarifa aliyotoaga kuwa ATCL inapata faida ya bil 28.

5. Aliwadharau sana wenzake. Na alifanya kila jitihada wenzake waonekane watu wasiofaa ( hasa viongozi waliopita). Aliishi nao kiunafiki akiwatumia vijana wake Kama Msiba, Sabaya , Makonda na Aly Happi kuwatukana na kuwatisha ili aharibu taswira yao kwa jamii na ajitengeneze kuwa ni Bora kuliko wao.

6. Alianzisha mambo ili kuwakomoa watu waliokuwa tofauti nae. As Kofi niwemugizi, Aidan Eyakuze, Yusuph Manji ni wachache kwenye hii list, walianza kuhojiwa uraia, wakanyang’anywa passport na kupewa kesi mbalimbali ili kukomolewa kutokana na kutofautiana nae.

7. Kwa sera zake mbovu, aliharibu kwa kiasi kikubwa uchumi hivyo kupelekea kuwepo tatizo kubwa la ajira . Ili kujiokoa na Tatizo hili Kwa kuwapumbaza watanzania wajinga alianzisha utaratibu wa kujifanya kuwa karibu na Mama lishe na bodaboda huku akisema kuwa wanaruhusiwa kufanya Biashara popote pale. Alifanya hili Kwa sababu alijua kabisa kuwa ameharibu uchumi wa Tanzania na amesababisha watu wengi kukosa ajira. Kuepuka lawama akataka kuifanya nchi nzima kuwa nchi ya wachuuzi huku akiharibu mipango miji na kusababisha walipa kodi wapungue kwa kasi.

8. Kutokana na kuwa na sera mbovu za kiuchumi huku akiiba Mali za watanzania Kwa kigezo cha uzalendo, akiogopa kupinduliwa na jeshi na wasaidizi wake, aliamua kufuatilia maongezi ya wasaidizi wake wote akiwemo Makamu wa Raisi , Mawaziri na viongozi wa Ccm. Alikuwa hadi meseji zao anasoma na alivyo mshamba alikiri hadharani kuwa anafuatilia mawasiliano ya watu. Alianzisha pia utaratibu wa wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama kuwa nae popote pale anapokuwepo. Huu utaratibu ulikuja kuonekana katika awamu ya 5 tu maana Kwa awamu ya 1 hadi ya 4 haikuwai kutokea wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama pamoja na spika na Jaji mkuu kuambatana na Rais popote pale anapokuwa.

9. Alikuwa muuaji
Niliwai bishia watu wengi kwenye hili ila nilikuja kuthibitisha alipokuja tamka hadharani kuwa huwezi kuwa msaliti alafu uka survive na baada ya hotuba yake iyo Tundu Lissu alikuja kushambuliwa kwa Risasi 38 huku 16 zikiingia mwilini wake.

10. Alijiona ni Bora kuliko mtu yeyote yule na alitaka neno lake ndo liwe mwisho. Alisema hadharani kuwa hashauriki na kila mtu aliyekuwa akimshauri alimchukulia kama adui yake. Siku za mwisho za uhai wake alitofautiana na kupingana Hadi na viongozi wa dini wa kanisa katoliki ambao waliamua kushauri nchi kuchukua hatua tofauti dhidi ya corona.

Mungu fundi sana! Alale anapostahili mwendazake.
 
Wasiompenda JPM ni wale wachawi, wenye hirizi na majini kwasababu JPM alikua mtu wa Mungu hawezi kupendwa na wachawi.

Wala usijihangaishe ukiona mtu hampendi JPM au alikua hampendi JPM ujue ni mchawi. Wale wote wenye hirizi viunoni hawawezi kumpenda JPM hata mara moja kwasababu JPM alikua akihubiri habari za Mungu.

Mchawi yeyote huwa hapendi mtu anayehubiri habari za Mungu. Mchawi yeyote hufurahi mhubiri wa habari za Mungu anapokufa.

Watu wenye mapepo hawawezi kumpenda JPM hata mara moja. Mimi naelewa sana jinsi haya mambo yalivyo. Kuna watu wamepata vyeo kwa kutumia hirizi na wengine wamepata uongozi kwa kupitia mapepo. Na wengine wamepata uongozi kwa kupitia majini. Kuna watu wamefuga majini sasa watampendaje mtu anayehubiri ufalme wa Mungu.

Hayo yalisha nitokea sana nikiwa nahubiri na kuitangaza injili.
Jaribu kutafakari kwenye mkutano wa JPM hakuwezi kukosa watu wenye hirizi viuoni. Sasa akisema Mungu hoyee hirizi zinaanza kushituka.

Hata Petro na Yohan walipokuwa wakitaja juu ya ukuu wa Mungu walipata upinzani mkubwa kutoka kwa wachawi. Wachawi hawakupenda zile habari za akina Petro na Yohan zilizokuwa zikitaja juu ya ukuu wa Mungu zikiambatana na nguvu ya Mungu aliyeziumba mbingu na nchi.
Halafu 'MAPEPO' yake yanabana pua na kusema alikuwa 'Mtumishi' wa MUNGU..
Dooh🙄

Kauwa sana watu huyo jiwe!
 
Niliwahi kutana na mwanajeshi mmoja mtwara, mwanzoni mwa 2018, anasema waliwahi kwenda mteka jamaa mmoja nyumbani kwake usiku na wakampeleka kwa jamaa ikulu, akamdhihaki sana alafu akawaambia wakammalize.
Daha itakuwa saa nane nini? Shetani hili bora lilikufa tu
 
Ala hawa wachawi waliua Azori,ben, na kuteka,kupiga risas watu. Ili wamsingizie kipenzi watz Yohanna(JPM). Lakin Yohana aliwabatiza mafisadi,mabaguzi,vibaraka. Mwamba awesepa wanaanza kuchafua kivuli chake. Watakufa kifo kibaya sana hawa washirikina. Kila ataye LItaja VIBAYAjina tukufu la DR.JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI 2025 harudi mbungeni
 
Niliwahi kutana na mwanajeshi mmoja mtwara, mwanzoni mwa 2018, anasema waliwahi kwenda mteka jamaa mmoja nyumbani kwake usiku na wakampeleka kwa jamaa ikulu, akamdhihaki sana alafu akawaambia wakammalize.
Dooh!

Kwa hiyo kaua sana kwa kisingizio cha utumishi
 
Ala hawa wachawi waliua Azori,ben, na kuteka,kupiga risas watu. Ili wamsingizie kipenzi watz Yohanna(JPM). Lakin Yohana aliwabatiza mafisadi,mabaguzi,vibaraka. Mwamba awesepa wanaanza kuchafua kivuli chake. Watakufa kifo kibaya sana hawa washirikina. Kila ataye LItaja VIBAYAjina tukufu la DR.JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI 2025 harudi mbungeni
 
Wasiompenda JPM ni wale wachawi, wenye hirizi na majini kwasababu JPM alikua mtu wa Mungu hawezi kupendwa na wachawi.

Wala usijihangaishe ukiona mtu hampendi JPM au alikua hampendi JPM ujue ni mchawi. Wale wote wenye hirizi viunoni hawawezi kumpenda JPM hata mara moja kwasababu JPM alikua akihubiri habari za Mungu.

Mchawi yeyote huwa hapendi mtu anayehubiri habari za Mungu. Mchawi yeyote hufurahi mhubiri wa habari za Mungu anapokufa.

Watu wenye mapepo hawawezi kumpenda JPM hata mara moja. Mimi naelewa sana jinsi haya mambo yalivyo. Kuna watu wamepata vyeo kwa kutumia hirizi na wengine wamepata uongozi kwa kupitia mapepo. Na wengine wamepata uongozi kwa kupitia majini. Kuna watu wamefuga majini sasa watampendaje mtu anayehubiri ufalme wa Mungu.

Hayo yalisha nitokea sana nikiwa nahubiri na kuitangaza injili.
Jaribu kutafakari kwenye mkutano wa JPM hakuwezi kukosa watu wenye hirizi viuoni. Sasa akisema Mungu hoyee hirizi zinaanza kushituka.

Hata Petro na Yohan walipokuwa wakitaja juu ya ukuu wa Mungu walipata upinzani mkubwa kutoka kwa wachawi. Wachawi hawakupenda zile habari za akina Petro na Yohan zilizokuwa zikitaja juu ya ukuu wa Mungu zikiambatana na nguvu ya Mungu aliyeziumba mbingu na nchi.
Uwaji wote aliufanya, ubabe, kiburi na kuminya uhuru wa watu, wizi wa kura unafikiri Mungu angemwacha hivi hivi.
 
Ala hawa wachawi waliua Azori,ben, na kuteka,kupiga risas watu. Ili wamsingizie kipenzi watz Yohanna(JPM). Lakin Yohana aliwabatiza mafisadi,mabaguzi,vibaraka. Mwamba awesepa wanaanza kuchafua kivuli chake. Watakufa kifo kibaya sana hawa washirikina. Kila ataye LItaja VIBAYAjina tukufu la DR.JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI 2025 harudi mbungeni
Jina tukufu? Bado tu mnaendekea kutukuza liuwaji lile? Siku matukio yote aliyoyafanya yakiwekwa hadarani mtashangaa sana.
 
Wasiompenda JPM ni wale wachawi, wenye hirizi na majini kwasababu JPM alikua mtu wa Mungu hawezi kupendwa na wachawi.

Wala usijihangaishe ukiona mtu hampendi JPM au alikua hampendi JPM ujue ni mchawi. Wale wote wenye hirizi viunoni hawawezi kumpenda JPM hata mara moja kwasababu JPM alikua akihubiri habari za Mungu.

Mchawi yeyote huwa hapendi mtu anayehubiri habari za Mungu. Mchawi yeyote hufurahi mhubiri wa habari za Mungu anapokufa.

Watu wenye mapepo hawawezi kumpenda JPM hata mara moja. Mimi naelewa sana jinsi haya mambo yalivyo. Kuna watu wamepata vyeo kwa kutumia hirizi na wengine wamepata uongozi kwa kupitia mapepo. Na wengine wamepata uongozi kwa kupitia majini. Kuna watu wamefuga majini sasa watampendaje mtu anayehubiri ufalme wa Mungu.

Hayo yalisha nitokea sana nikiwa nahubiri na kuitangaza injili.
Jaribu kutafakari kwenye mkutano wa JPM hakuwezi kukosa watu wenye hirizi viuoni. Sasa akisema Mungu hoyee hirizi zinaanza kushituka.

Hata Petro na Yohan walipokuwa wakitaja juu ya ukuu wa Mungu walipata upinzani mkubwa kutoka kwa wachawi. Wachawi hawakupenda zile habari za akina Petro na Yohan zilizokuwa zikitaja juu ya ukuu wa Mungu zikiambatana na nguvu ya Mungu aliyeziumba mbingu na nchi.
Kichwani zimo kweli wewe
 
Hivi lile genge la zaidi ya waganga na wachawi 400 kutoka kule gambushi mkoani Shinyanga lililokusanyika kwa ajili ya kumlinda Magufuli na kuhakikisha kamwe hatoki madarakani nalo unaliweka kundi gani mleta mada?
 
Back
Top Bottom