Rais Magufuli ni mchapakazi au mbabaishaji tu kama wengine?

Sijijui

JF-Expert Member
Jan 14, 2018
7,879
8,800
Wanajamvi hivi watu wanao msifia Magufuli kwamba anapiga kazi sana wanaangalia targets vs Achievements au Budget approved vs pesa iliyokuwa disbursed kwenda kuchapa hiyo kazi au wao kigezo Chao pekee ni propoganda za jamaa kwenye majukwaa?

Mfano juzi kasema kajenga barabara za urefu wa kikomita 3000+ Kuna mtu anayeweza kunisaidia kujua angalau barabara moja yenye urefu angalau wa kilometer Mia iliyojengwa na Magufuli from the word go?

Mimi naijua moja tu tena yenye kilometer 17 but five good years bado haijakamikika
 
Problem solver tu na si yule ambaye anatuaminisha ndiye. Kiongozi inabidi aoneshe kalitoa wapi taifa na kalifikisha wapi.
 
Soma hotuba ya mwelekeo sahihi_ msigwa
Utaona uchambuzi wa magufuli kwa swali lako
 
Jemedari mpambanaji wa kweli aliyejitoa sadaka kwa ajili ya kuwaletea watanzania maendeleo ya kweli. Hakika tz inapaa kiuchumi na wazungu wanajua
 
Sasa mbona anatekeleza budget zake kwa wastani wa asilimia 34 kwa mwaka au huko kujitoa ni kujitoa kwa kutumia maguvu tu bila resource muhimu inayoitwa pesa?
Watu kama nyie katika Jamii hamuwezi kukosa,

Single minded.
 
Atiwe moyo kwa Jambo gani alilolifanya mkuu? Nimeomba nioneshwe hata barabara moja yenye urefu wa km 100 mpaka sasa hakuna aliyenionesha
Mkuu unakwama wapi!?, Kwahiyo iyo barabara unayotaka kuoneshwa ibebwe Hadi uliko ndo ujue kama amejenga barabara ya 100km!?, tembea ujionee.

What's dead may never die.
 
Mkuu unakwama wapi!?, Kwahiyo iyo barabara unayotaka kuoneshwa ibebwe Hadi uliko ndo ujue kama amejenga barabara ya 100km!?, tembea ujionee.

What's dead may never die.
Mkuu unaumwa? Kujua Moro Dar ni kilometer 180 maana yake nimebeba kwanza barabara ya dar moro kuileta home kwako.Au kwako wewe kuonesha maana yake nini?
 
Mkuu unaumwa? Kujua Moro Dar ni kilometer 180 maana yake nimebeba kwanza barabara ya dar moro kuileta home kwako.Au kwako wewe kuonesha maana yake nini?
Sasa kama unajua Moro to dsm ni 180km then unataka wakuoneshe barabara zipi mkuu uh!?


Ukiambiwa changanya na zako
 
Back
Top Bottom