Rais Magufuli ni mbadala wa fikra tu kuijenga Tanzania mpya

m2020

JF-Expert Member
Jul 10, 2016
979
1,353
Ndio anachokifanya mheshimiwa rais Magufuli. Tulihitaji mabadiliko ya kifikra Katika usimamizi wa mipango, sheria na rasilimali zetu kujenga upya nchi yetu baada ya kupoteza muelekeo kwa miaka 30.

Ni vema tumuunge mheshimiwa raisi mkono Katika kufanikisha maendeleo ya nchi yetu.

Kwa miaka 30 tuliweka vipaumbele kwenye matumizi yasiyolazima kama safari, makongamano na kutoasimamia vema ukusanyaji kodi na ujenzi wa uchumi imara kwa kuwa na nidhamu kwenye matumizi ya fedha za umma.

VIVA MAGUFULI VIVA TANZANIA.
 
Kununua ndege 2 mpya kwa zaidi ya miaka 30 ni sehemu ya mafanikio hayo.
 
Back
Top Bottom