Rais Magufuli ni Jemedari kweli wa Vita ya Ufisadi na Rushwa-Jua fedha, majengo, na vitu vingine kibao vilivyorejeshwa Serikalini. Big up JPM

Ndugu yangu Kinyungu, utawala wa JPM ni wa kisheria na haki. Ni vyombo vya sheria pekee vinavyomtia mtu hatiani siyo hisia wala mhemuko wa mtu. Huo ndio utawala wa sheria na utoaji wa haki anaosimamia Rais JPM na ndiyo maana watanzania wanampenda na watampa kura nyingi.
Haki wapi?Umesahau kesi dhidi ya Lema?Mpaka hakimu alikuwa akiwapa makavu waendesha mashitaka wa serikali kwa kupiga danadana kesi kwa makusudi ili mtuhumiwa aendelee kukaa rumande bila dhamana!Walipoona wametosheka na mateso waliyompa,eti wakasema hawana nia ya kuendelea na kesi!Kuna haki hapo?
Kina Nusrat Henje wako mahabusu bila dhamana zaidi ya miezi 3 sasa kisa waliimba "Mungu ibariki Chadema...",wakati huo huo UVCCM wako huru kabisa uraiani japo na wao waliimba "Mungu mbariki Magufuli....",kuna haki hapo?
Mpaka leo hatima za akina Azory Gwanda,Ben Saanane,Mo Dewji,Roma,Mawazo,Tundu Lissu na wahanga wengi wa serikali hii hazijajulikana!Kuna haki hapo?
Msitutie hasira na ngonjera zenu za kipuuzi!
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Una ushahidi na unachokisema au ni hisia zako tu mkuu. Please weka ushahidi as kama hauna bora kunyamaza ndugu yangu. Nayo ni ustarabu wa kisomi
Unaishi nchi gani?Au utakuwa teenagee bado unanuka maziwa ndio maana hujui haya!Hebu jisumbue tu ufukue nyuzi humu JF,zipo nyingi tu na watu tulisema sana!
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Amefanikiwa kujenga Chato International Airport
Siyo tu hiyo, ongeza na airport zingine nyingi ikiwemo upgrading zinazoendelea kwa airports za Shinyanga, Kigoma, Tabor, Musoma na Airport mpya itakayojengwa Sumbawanga. Viva JPM. Sky Eclat ungana na kundi la ushindi la JPM
 
Nimeamua kuungana na kundi la haki mkuu.
 
1 Wewe mama unalia vizuri najua hata kwa mumeo unaliaga vizuri hivyo hivyo.

2 Naomba Sugu anisugue vizuri Umeniota tukiwa kitandani?

3 Wewe mama unataka kupanuliwa wapi huko chini au kwa juu?

SUBIRI KIDOGO
 
Ni 2.7 trillions Mkuu. 1.5 trillions iligunduliwa na CAG Assad na 1.2 Trillions iligunduliwa na CAG Kichere.
Naomba pia ulete maelezo ya CAG alivyojibu suala hili na kukanusha allegations zote. Kuwa honest nduyu yangu katika hoja yako, ndiyo kanuni ya uungwana.
 
Hakuna majibu hayo wewe. Kama huyo KICHAA angekuwa na mapenzi kweli na Tanzania basi angeunda Tume huru ili kufanya uchunguzi wa kina lakini kwa kujua kwamba ataadhirika akagoma. Mporaji haachi asili.,

Naomba pia ulete maelezo ya CAG alivyojibu suala hili na kukanusha allegations zote. Kuwa honest nduyu yangu katika hoja yako, ndiyo kanuni ya uungwana.
 
Haki wapi?Umesahau kesi dhidi ya Lema?Mpaka hakimu alikuwa akiwapa makavu waendesha mashitaka wa serikali kwa kupiga danadana kesi kwa makusudi ili mtuhumiwa aendelee kukaa rumande bila dhamana!Walipoona wametosheka na mateso waliyompa,eti wakasema hawana nia ya kuendelea na kesi!Kuna haki hapo?
Kina Nusrat Henje wako mahabusu bila dhamana zaidi ya miezi 3 sasa kisa waliimba "Mungu ibariki Chadema...",wakati huo huo UVCCM wako huru kabisa uraiani japo na wao waliimba "Mungu mbariki Magufuli....",kuna haki hapo?
Mpaka leo hatima za akina Azory Gwanda,Ben Saanane,Mo Dewji,Roma,Mawazo,Tundu Lissu na wahanga wengi wa serikali hii hazijajulikana!Kuna haki hapo?
Msitutie hasira na ngonjera zenu za kipuuzi!
Mkuu nakubaliana nawe kuwa kuna watanzania wana kesi za muda mrefu mahakamani na siyo hiyo ya Lema pekee. Mhe JPM anamefanya mengi kuondoa tatizo hilo. Unakumbuka ziara maalum alizozifanya magerezani na hatua zilizochukuliwa. Unafahamu pia alivyofanya maboresho katika mifumo ya utoaji wa haki nchini ikiwemo kuongeza ofisi za mahakama za rufaa kama vile Kigoma na Musoma na kuongeza idadi ya mahakimu na majaji ili kesi zimalizike mapema zaidi.
Ungana na watanzania kumpa kura yako ili azidi kukamilisha maboresho yanayoendelea
 
Nimeamua kuungana na kundi la haki mkuu.
Hilo kundi ni la JPM karibu karibu ndugu yangu tuungane na watanzania ili kupata haki ya elimu, maji, umeme, afya, miundombinu na mengine mengi. JPM amethubutu na ameweza.
 
Jemedari wa ufisadi Bepari lenye ranch kali East Africa na kusini mwa jangwa la sahara aliyo ipata mwaka mmoja baada ya kupata Urais anaye jifananisha na Nyerere(Rip)
 
Mkuu nakubaliana nawe kuwa kuna watanzania wana kesi za muda mrefu mahakamani na siyo hiyo ya Lema pekee. Mhe JPM anamefanya mengi kuondoa tatizo hilo. Unakumbuka ziara maalum alizozifanya magerezani na hatua zilizochukuliwa. Unafahamu pia alivyofanya maboresho katika mifumo ya utoaji wa haki nchini ikiwemo kuongeza ofisi za mahakama za rufaa kama vile Kigoma na Musoma na kuongeza idadi ya mahakimu na majaji ili kesi zimalizike mapema zaidi.
Ungana na watanzania kumpa kura yako ili azidi kukamilisha maboresho yanayoendelea
Mtawadanganya wasiojielewa!Tunaona wazi jinsi Magufuli kwa kutumia vyombo vya dola anavyowasulubu wapinzani wake!Nasisitiza siwezi kumpa kura mtu dhalimu kama huyu!Kura yangu tar 28 itaenda kwa haki,uhuru na maendeleo!Sioni zaidi ya Lissu!
 
Back
Top Bottom