Rais Magufuli: Ni aibu Shule za Zanzibar kuwa za mwisho, Wakandarasi wakikupa 10% kula ila simamia Sheria

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
jpmmmm.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amesema ni sa aibu kuona shule za Zanzibar zinakuwa miongoni ambazo hazifanyi vizuri pindi inapofika wakati wa kutangaza matokeo ya Shule za Sekondari.

Rais Magufuli ametoa kauli hiyo wakati akizungumza kwenye uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Mwanakwerekwe iliyopo visiwani Zanzibar.

Rais Magufuli amesema kuwa "Nasikitika sana wanapotangaza matokeo unakuta Shule za Zanzibar zinafuatana kuwa za mwisho hii ni aibu, viongozi mpige vita hii aibu, najua wengine hawawezi kuwaeleza mimi lazima nitawaeleza"

Aidha Rais Magufuli ameongeza kuwa "Nataka mpaka Machi kabla ya tarehe 30, jengo hili wanafunzi wawe wanaingia ndani, hii hela inayotumika hapa ni hela ya Wazanzibar na watailipa, nakuomba Mkandarasi ukamilishe kwa wakati, Katibu Mkuu marufuku kuwatetea Wakandarasi"

"Tunakopesheka kwasababu sisi ni Matajiri tusingekuwa na uwezo wa kulipa tusingekopeshwa, mpaka March jengo hili wanafunzi wawe wanaingia, hela inayotumika hapa ni ya Wanzanzibar na watailipa, Katibu Mkuu marufuku kuwatetea Wakandarasi wakikupa 10% kula ila simamia Sheria”-JPM

Kwa sasa Rais Magufuli yuko visiwani Zanzibar kwa ajili ziara ya kikazi ambapo kesho atashiriki Sherehe za miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
 
Pamoja na shule zao kua za mwisho wamafanikiwa sana katika Biashara na kujiajiri kuliko sisi na degree zetu tunatafuta kwa ajiriwa ajira zenyewe hamna nikuzunguka na mabaasha.......Raisi mfumo wetu wa elimu ni shida ni 'time bomb' tofouti ya alio soma na ambaye hakusoma katika maisha halisi ni ndogo sana.......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Raisi wangu Magufuli, hao wazanzibari watafaulu vipi! wakati muda na jitihada zao nyingi huzipeleka kwenye mambo ya ovyo, mfano udini na kufuatilia siasa (za Maalim Seif).
 
Pamoja na shule zao kua za mwisho wamafanikiwa sana katika Biashara na kujiajiri kuliko sisi na degree zetu tunatafuta kwa ajiriwa ajira zenyewe hamna nikuzunguka na mabaasha.......Raisi mfumo wetu wa elimu ni shida ni 'time bomb' tofouti ya alio soma na ambaye hakusoma katika maisha halisi ni ndogo sana.......

Sent using Jamii Forums mobile app
Haujui ulichokiandika captain
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom