Rais Magufuli ndiye Rais anayeongea lugha nyingi duniani, 83 za ndani na 3 za kimataifa

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,477
20,377
Magufuli ni Rais pekee duniani hadi leo au inawezekana asitokee mwingine kama yeye mwenye uwezo mkubwa wa kuongea lugha zisizopungua 87 kwa ufasaha,katika lugha za ndani pekee Magufuli anaweza kuongea lugha 83 kwa ufasaha wa hadi asilimia 95 katika scale ya lugha huku akiongea lugha 3 za kimataifa.

Rais Magufuli pia ana uwezo mkubwa wa kuongea Kiswahili kama lugha yake ya asili (mother tongue) huku akiwa ana uwezo pia wa kuongea lugha ya Kinyarwanda na Kirundi (Rwanda-Rundi language) yenye wazungumzaji zaidi ya milioni 50 ukanda huu wa maziwa makuu.

Pia Rais Magufuli ni mahiri sana katika kuongea lugha ya kiingereza huku wataalamu wa lugha wakisema uwezo wake wa kuongea lugha hiyo inamuweka katika nafasi moja na Rais Mstaafu Mkapa.

Chanzo: Hapa na Pale Blogu
 
Mmh.....wewe endelea 'kusaga sumu' tu, yatakakayokukuta mtajuana na hao "Hapa na Pale"!
 
Magufuli ni Rais pekee duniani hadi leo au inawezekana asitokee mwingine kama yeye mwenye uwezo mkubwa wa kuongea lugha zisizopungua 87 kwa ufasaha,katika lugha za ndani pekee Magufuli anaweza kuongea lugha 83 kwa ufasaha wa hadi asilimia 95 katika scale ya lugha huku akiongea lugha 3 za kimataifa.

Rais Magufuli pia ana uwezo mkubwa wa kuongea Kiswahili kama lugha yake ya asili (mother tongue) huku akiwa ana uwezo pia wa kuongea lugha ya Kinyarwanda na Kirundi (Rwanda-Rundi language) yenye wazungumzaji zaidi ya milioni 50 ukanda huu wa maziwa makuu.

Pia Rais Magufuli ni mahiri sana katika kuongea lugha ya kiingereza huku wataalamu wa lugha wakisema uwezo wake wa kuongea lugha hiyo inamuweka katika nafasi moja na Rais Mstaafu Mkapa.

Chanzo: Hapa na Pale Blogu
Hii sumu unasaga atuinywa mwenyewe .tumekuona ukisaga chupa .
 
Hamna raisi aliyekuwa anaongea kiingereza kizur kama mkapa,,, "uncle" hatii maguu hata kwa JK!!
 
Magufuli ni Rais pekee duniani hadi leo au inawezekana asitokee mwingine kama yeye mwenye uwezo mkubwa wa kuongea lugha zisizopungua 87 kwa ufasaha,katika lugha za ndani pekee Magufuli anaweza kuongea lugha 83 kwa ufasaha wa hadi asilimia 95 katika scale ya lugha huku akiongea lugha 3 za kimataifa.

Rais Magufuli pia ana uwezo mkubwa wa kuongea Kiswahili kama lugha yake ya asili (mother tongue) huku akiwa ana uwezo pia wa kuongea lugha ya Kinyarwanda na Kirundi (Rwanda-Rundi language) yenye wazungumzaji zaidi ya milioni 50 ukanda huu wa maziwa makuu.

Pia Rais Magufuli ni mahiri sana katika kuongea lugha ya kiingereza huku wataalamu wa lugha wakisema uwezo wake wa kuongea lugha hiyo inamuweka katika nafasi moja na Rais Mstaafu Mkapa.

Chanzo: Hapa na Pale Blogu

!.....oooh my God hizi blog za bongo hizi!
 
Back
Top Bottom