Rais Magufuli: Ndege yetu Bombardier Q400 iliyokuwa ikishikiliwa Canada imeachiwa, itapokelewa Mwanza, tarehe 14/12/2019

Hiyo siku ya mapokezi, nitafunga genge langu la mama lishe, niende uwanja wa ndege kushiriki mapokezi hayo, I guess baada ya mapokezi tutanunuliwa vinywaji hata bia mbili mbili
 
Rais Magufuli akizungumza na wajumbe wa Halmasharuri kuu ya Taifa ya chama cha Mapinduzi leo amesema Ndege yetu iliyokuwa imeshikiliwa Canana imeachiwa huru na itatangazwa siku itakapopokelewa. Pia JPM amesema safari hii ndege hii itapokelewa Mwanza (tarehe itatangazwa).

“Ndege yetu iliyokuwa inashikiliwa Canada imeachiliwa, wananchi watatangaziwa tarehe ya kuwasili ili wakaipokea na tutaipokelea hapa Mwanza.” Alisema

Itakumbukwa Mamlaka nchini Canada zilikamata ndege ya Tanzania aina ya Bombardier Q400. Kutokana na shauri la kesi iliyofunguliwa na mkulima mstaafu raia wa Namibia Hermanus Steyn



View attachment 1289573


Prof. Kabudi: Ndege ya Tanzania, Bombardier Q400 imekamatwa Canada na kesi ipo Mahakamani
Meko ndio kesha hamia Mwanza?
 
Ikipendeza siku ya kupokea ndege Mza, watumishi wa umma na wanafunzi iwe siku ya mapumziko kazi tusherehekee.Sijui nani katuroga eti siku ya uhuru tunaweka picha bango jukwaa kuu picha ya ndege kuonyesha mafanikio taifa letu! Na wimbo wa Hamonaiz wa kampeni!! Huu ushamba tutaacha lini???!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
waambie na majuha wenzio na nyinyi mutafute vya kuonyesha mafanikio sisi tunaonyesha ndege halafu mnazipanda mnakuja mwanza kuomba radhi kwa rais yuleyule ambaye mlisema hamumutambui mbona 2020 mtapata taabu sanaaaaa
 
Back
Top Bottom