Rais Magufuli ndani ya Igunga, awataka viongozi wawajibike katika nafasi zao

Mpekuzi Tanzania

JF-Expert Member
Mar 11, 2018
588
911
RAIS NDANI YA IGUNGA MJINI

Kaongea na Wananchi wa Kata ya Igunga. Kaulizia Mkuu wa Wilaya (DC ) hakuwepo japo ndio Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama wa Wilaya
Kamuulizia Mbunge wa Jimbo Dr Kafumu hakuwepo na wananchi wakapiga mayowee kuwa hawamtaki Msomi huyu wa Madini

Kamuulizia Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya (DED) nae hakuwepo. Diwani wa Kata ya Mjini akajitokeza alipoulizwa kuhusu Fedha za Mfuko wa barabara nae akaishia kujiuma na kusema zipo TARURA.

Mhe Rais kawataka viongozi wawajibike katika nafasi zao na watatue kero za wananchi likiwepo swala la stendi ya malori na barabara ya Mwanzugi.
 
Back
Top Bottom