Rais Magufuli: Natamani kuwa Waziri wa Michezo

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
11,975
48,843
Ni leo kwenye ziara yake kule Mbeya


========
Namnukuu

“Natamani siku moja niwe Waziri wa Michezo halafu niwaonyeshe mimi ni nani kwanza kikosi ntakipanga mimi mwenyewe halafu tuone kama tutafungwa fungwa tena”

Mwisho wa kunukuu
========

Je, Rais anayetamani kuwa kwenye kila kitu ni Rais wa namna gani?
 
Hii namna niliyomuelewa nitakuwa nimemuelewa peke yangu na sijutii kumwelewa peke yangu maana kila mtu anatafsiri alivyojaliwa ufahamu.
HII KWANGU NI INDICATOR KWA WAZIRI MSANII ALIYESOMEA SHERIA.
 
Back
Top Bottom