Rais Magufuli, naomba uwamulike Tanesco, huu uzembe umezidi sasa

Ze observer

JF-Expert Member
Aug 12, 2017
233
491
Kwanza nikupongeze mhe rais Kwa kazi nzuri na tukufu unayoifanya, kiukweli juhudi zako kila mtanzania anaziona na kuzikubali kwasababu zimetukuka.

Kero yangu ni juu ya HAWA TANESCO, wamezidi uzembe sana yaani suala la kukatika umeme imekua habari ya mjini. Sina maneno mengi sana ila OMBI LANGU : ninaomba uwamulike hawa TANESCO wanauzi sana. wanafanya kazi Kwa mazoea na kujaza matumbo Yao na huku BIASHARA ZETU na shughuli zetu zimesimama kabisa kisa uzembe wa hao watu. Wengine wanapaswa kutumbuliwa tu maana hakuna namna
 
Rubbish!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom