Rais Magufuli, naomba update ya utekelezaji wa mapendekezo ya kamati za makinikia

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,887
143,983
Mheshimiwa,mimi mwanachi wako napenda kupata update ya hatua ulizochukua kuhusu mapendekezo ya zile kamati mbili za makinikia pamoja na ile iliyohusika kuchunguza madini ya Tanzanite.

Nakumbuka ulituahidi kuwa mapendekezo yote ya zile kamati umeyakubali hivyo tunapenda kujua utekelezaji ukoje ikiwemo hatua ulizochukua kwa wahusika waliotajwa katika ripoti zile.

Kama umesamehe basi ni vizuri utujulishe, ila kumbuka kauli yako kuwa, "wanaovunja sheria, wataishia jela".

Ni hayo tu Mheshimiwa.

Waandishi/wahariri hebu muwe mnakumnusha umma kuhusu haya mambo.

Mbali na waandishi,hata wapinzani mnaweza kuita waandishi na kupitia wao, mkawa na utamaduni wa kumuhoji Raisi kwa yale aliyoahidi kuyafanya.
 
Mkuu na wewe si ni mpinzani, waite waandishi uhoji badala ya kuja kuhoji huku JF ukiwa umevaa kichaka cha jina.

Vinginevyo unaweza kuandika barua Ikulu kuhoji kama una nia ya kuhoji badala ya kuja na uzi wa kuhoji hapa JF
 
Uko Zako Rombo Umeshalewa Vitochi Vya Mbege Unajiona Una Hadhi Ya Kuongea Na Rais Chadema Bana
 
Mkuu na wewe si ni mpinzani, waite waandishi uhoji badala ya kuja kuhoji huku JF ukiwa umevaa kichaka cha jina.

Vinginevyo unaweza kuandika barua Ikulu kuhoji kama una nia ya kuhoji badala ya kuja na uzi wa kuhoji hapa JF
Ana mafaili mengi sana hivyo nikiandika barua inaweza kusahaulika.
 
Akili nyingine bwana!
Kwa hiyo unafikiri Rais atakuja hapa kukujibu?
Au unaandika kujifurahisha na kuwafurahisha wenzako?
TULIA DAWA IKUINGIE.
 
Ni bahati mbaya tu wapinzani wanakosea kwa kutokuhoji haya mambo hadharani(kukumbusha) ila mjue tu huyu bwana ana mengi sana ya kuhojiwa hivyo mtu kama wewe(kibaraka) lazima povu likutoke.

Wakati mnasambaza vipeperushi vya tumetekeleza,haya ndio mambo wapinzani na waandishi wanapaswa kuyaibua na kuhoji.

Shukuruni wabongo ni wasahaulifu na jambo likipita limepita.
 
Mheshimiwa,mimi mwanachi wako napenda kupata update ya hatua ulizochukua kuhusu mapendekezo ya zile kamati mbili za makinikia pamoja na ile iliyohusika kuchunguza madini ya Tanzanite.

Nakumbuka ulituahidi kuwa mapendekezo yote ya zile kamati umeyakubali hivyo tunapenda kujua utekelezaji ukoje ikiwemo hatua ulizochukua kwa wahusika waliotajwa katika ripoti zile.

Kama umesamehe basi ni vizuri utujulishe, ila kumbuka kauli yako kuwa, "wanaovunja sheria, wataishia jela".

Ni hayo tu Mheshimiwa.

Waandishi/wahariri hebu muwe mnakumnusha umma kuhusu haya mambo.

Mbali na waandishi,hata wapinzani mnaweza kuita waandishi na kupitia wao, mkawa na utamaduni wa kumuhoji Raisi kwa yale aliyoahidi kuyafanya.
Ingia Google search address ya ikulu then watumie watakujibu....."ukiandika hapa ni unafiki tu usio na mfano kwenye karne hii 21"
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom