Rais Magufuli naomba ufute Makanisa yanayopiga kelele usiku

Magufuli kazi anayo,apambane na upinzani huku tena kuna wanaompa kazi afute makanisa yaani alimradi imekuwa vurugu.

Kuna hili la maandamano ya mtandaoni basi ndo anazidi kuchanganyikiwa akili.wananchi jifunzeni kuvumiliana kwenye hizo imani zenu.
 
Ndo ukubwa jalala huo,adili ni kuuwa vyama,bado kuna upinzani wa mitandao na maandamano, huku adili na makanisa,na magazeti vyombo vya habari, akidhibiti moja yanaibuka mengine, mtamzeesha bure
 
Kazi yake aliyo pewa tarehe 25 /10/2015 ni kujenga viwanda tena vile vidogo kabisa sio kazi hizo za ovyo za ununuzi na ugavi wa wapinzani, kufungia makanisa n.k, hata hivyo tumeamua kama wananchi ajenge v-wonder badala ya viwanda!

ACHA UCHOCHEZI FANYA VITU VYA MSINGI ILI WAJUKUU WAKO WAJE WASIMULIANE!
 
Magufuli kazi anayo,apambane na upinzani huku tena kuna wanaompa kazi afute makanisa yaani alimradi imekuwa vurugu.

Kuna hili la maandamano ya mtandaoni basi ndo anazidi kuchanganyikiwa akili.wananchi jifunzeni kuvumiliana kwenye hizo imani zenu.
Ni ushabiki maandazi tu wa baadhi ya watu, na huenda wanamchochea mkuu ili azidi kuchukiwa na watu, hawana nia njema hawa
 
Back
Top Bottom