Rais Magufuli, namuombea msamaha Paul Makonda. Msamehe

Makonda hafai katika uongozi hapa nchini na kama Magufuli atamrudisha katika nafasi nyingine tena hapa itadhihilika kuwa kuna waganga wanaomdanganya kuwa hawezi kutawala bila Kuwa na Makonda!!

Amefanya mambo mengi ambayo yamemdhalilisha Jiwe likiwemo la kutaka kuingiza makontena kinyemela na kuwalazimisha wafanya biashara kumpa fedha kwa nguvu kwa kutumia cheo chake! In short Makonda is a criminal who should be shied away. Hizo mbinu za kuomba uteuzi kwa kutumia media ni za kitoto ambazo mtu yoyote mwenye busara hawezi kuzitumia.
una ushaidi gani juu ya makonda zidi ya tuhuma zako
 
Zomea makonda jikonda hilooooo eheeee ny God is goodo,evert thing is dabodabo,watoto dabodabo,aibu dabodabo
 
una ushaidi gani juu ya makonda zidi ya tuhuma zako

Wenye akili wanajua niliyoandika ni kweli na ushahidi upo!!! Kwani Wewe mtoto wa Ponera hapo kwenu Mikocheni hawauzi magazeti yaliyoandika juu ya makontena ya Makonda? Waulize dada zako watakueleza juu ya ushahidi unaoutaka!!
 
Mhe Rais wetu, na viongozi wote wa serikali yako, sisi kama vijana tunayemtazama. Paul Makonda kama chachu ya uongozi katika mioyo ya vijana, tunakuja mbele yako kwa unyeyekevu mkubwa kuomba msamaha wa yale yote aliyoyafanya kinyume na matakwa yako na serikali yako kwa ujumla.

Tunaamini yapo mapungufu mengi aliyonayo na yapo makosa mengi aliyoyafanya hata ambayo sisi tunaweza tusijue, ila tunakujua wewe Mh. Rais kama Baba mwenye upendo, mwenye huruma, kipenzi cha vijana wa taifa hili, mwenye moyo wa kusamehesaba mara sabini maana tumekushuhudia ukitusamehe vijana wa taifa hili. Tunakuomba sana baba msamehe Makonda mpe nafasi nyingine itakayokupendeza ili aendelee kuwatumikia watanzania.

Tunaamini bado anayo akili, utashi, ujasiri na upendo kwa nchi yake. Bado ana vitu vingi sana vya kuwafanyia wanyonge wa nchi hii. Bado tunaamini anayo nguvu ya kuendelea kusimamia utekelezaji wa ilani ya Chama Cha Mapinduzi ambayo kwa 2020-2025 imesheheni mipango mingi na mizuri sana kwa kijana wa nchi hii.

Baba msamehe Makonda mpe nafasi katika serikali yako.Tunakuahidi kukupigia kura nyingi za kishindo, zitakazoonyesha shukrani yetu kwa kazi uliyoifanya kwa nchi hii.Kwa yeyote anayeweza kumfikia Mh. Rais, tunakuomba umwambie tunampenda, tunamuomba amsamehe Makonda, yatima, wajane, maskini, wanyonge na vijana wanchi hii tunamkumbuka na kumuombea msamaha.

Lakini pia tunamuomba Askofu Gwajima amsamehe na kumuondolea laana aliyoitamka madhabahuni kwake ya kumfuta katika siasa za nchi hii juu yake. Bado ni kijana mdogo anayehitaji kusamehewa na kufundishwa. Taifa hili bado linahitaji mchango wake.Mungu awabariki sana.Kwa niaba ya tunaomkumbuka Makonda.

domitiandomitian@gmail.com.View attachment 1556427View attachment 1556428

NOTE: MLETA MAADA HANA MASLAHI WALA HUUSIANO NA UJUMBE HUSIKA, HIVYO HASIUSISHWE MOJA KWA MOJA NA MADA, YEYE NI MLETA TAARIFA TUU.
Maswali
Msamaha kwani kakosea nini na wapi
Kama ni kweli kakosea taratibu za chama zinasemaje?
Kwahiyo yeye ndio mwenye kibubu cha kura kama asiposamehewa mwenyekiti hapati kura?
Mbona kama mnafoka sasa
 
Ni makonda huyu huyu aliyesema ktk watu wanaokula maisha matamu duniani na yeye ni mmoja wapo..
Ktk watu wanaokula raha duniani na yeye ni mmoja wapo..
Sasa imekuwaje tena kuja kulialia mitandaoni?
Kweli madaraka ya kulevya Matamu..
 
Mtu wa kwanza anaye takiwa kumsamehe makonda ni Gwajima kutokana na yale maneno aliyo sema madhabahuni kwamba. "Na mfuta makonda ktk ulimwengu wa Siasa" Gwajima afute hayo maneno
 
Mhe Rais wetu, na viongozi wote wa serikali yako, sisi kama vijana tunayemtazama. Paul Makonda kama chachu ya uongozi katika mioyo ya vijana, tunakuja mbele yako kwa unyeyekevu mkubwa kuomba msamaha wa yale yote aliyoyafanya kinyume na matakwa yako na serikali yako kwa ujumla.

Tunaamini yapo mapungufu mengi aliyonayo na yapo makosa mengi aliyoyafanya hata ambayo sisi tunaweza tusijue, ila tunakujua wewe Mh. Rais kama Baba mwenye upendo, mwenye huruma, kipenzi cha vijana wa taifa hili, mwenye moyo wa kusamehesaba mara sabini maana tumekushuhudia ukitusamehe vijana wa taifa hili. Tunakuomba sana baba msamehe Makonda mpe nafasi nyingine itakayokupendeza ili aendelee kuwatumikia watanzania.

Tunaamini bado anayo akili, utashi, ujasiri na upendo kwa nchi yake. Bado ana vitu vingi sana vya kuwafanyia wanyonge wa nchi hii. Bado tunaamini anayo nguvu ya kuendelea kusimamia utekelezaji wa ilani ya Chama Cha Mapinduzi ambayo kwa 2020-2025 imesheheni mipango mingi na mizuri sana kwa kijana wa nchi hii.

Baba msamehe Makonda mpe nafasi katika serikali yako.Tunakuahidi kukupigia kura nyingi za kishindo, zitakazoonyesha shukrani yetu kwa kazi uliyoifanya kwa nchi hii.Kwa yeyote anayeweza kumfikia Mh. Rais, tunakuomba umwambie tunampenda, tunamuomba amsamehe Makonda, yatima, wajane, maskini, wanyonge na vijana wanchi hii tunamkumbuka na kumuombea msamaha.

Lakini pia tunamuomba Askofu Gwajima amsamehe na kumuondolea laana aliyoitamka madhabahuni kwake ya kumfuta katika siasa za nchi hii juu yake. Bado ni kijana mdogo anayehitaji kusamehewa na kufundishwa. Taifa hili bado linahitaji mchango wake.Mungu awabariki sana.Kwa niaba ya tunaomkumbuka Makonda.

domitiandomitian@gmail.com.View attachment 1556427View attachment 1556428

NOTE: MLETA MAADA HANA MASLAHI WALA HUUSIANO NA UJUMBE HUSIKA, HIVYO HASIUSISHWE MOJA KWA MOJA NA MADA, YEYE NI MLETA TAARIFA TUU.
Akileta vyeti
 
TUU.
Mkuu kwani kafanya kosa gani? Kwani kutopewa cheo unakwua umekosea? muombee ndugu yako au wewe mwenyewe makonda hana njaa
 
Mkuu alishasema HAPANGIWAGI na HUKIMPANGIA ndio unaharibu KABISAAAA. Kama unataka ombi lako litimie futa uzi
 
Awarudishie wote mali zao alizowadhulumu kwa kisingizio cha vita dhidi ya madawa ya kulevya,awalipe fidia aliowadhalilisha kwenye suala la watoto waliotelekezwa( wengine wazee),na kutubu hadharani kuhusu "wasiojulikana". Hao ndiyo wanastahili kumsamehe si magufuli!
 
Back
Top Bottom