Sio issue sana ila watu wanaweza kuhoji umakini wa mtu kwenye mambo makubwa ilihali hayuko makini kwenye mambo madogo.So what?
Hiyo Ni swaga jaman hawajasahau ni uvaaji tu wa kawaida kabisa hata mimi siwezi funga suti vishikizo vyote
Sio issue sana ila watu wanaweza kuhoji umakini wa mtu kwenye mambo makubwa ilihali hayuko makini kwenye mambo madogo.
Sukari sh ngapi huko?
Kwani kuna sehemu kasema tujadili?Hii nayo ni Hoja ya Kujadili?
Kwani kuna sehemu kasema tujadili?Hii nayo ni Hoja ya Kujadili?
http://cdn.geekwire.com/wp-content/uploads/2015/09/IMG_2527-620x413.jpgTUPIA YA VIONGOZI WA NJE