Rais Magufuli na waziri Lukuvi ingilieni kati unyonyaji wa mradi wa nyumba za PSPF Buyuni Chanika

Dr Matola PhD

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
59,506
103,164
Ikumbukwe kwamba miradi ya low cost house scheme inayojengwa na hifadhi ya mifuko ya jamii lengo lake kuu ni kuwasaidia wanyonge, lakini ninachokiona mimi kwenye mradi wa nyumba hizi za PSPF buyuni chanika lengo lake ni kuwatia umaskini hao wanyonge.

Haiwezekani mnyonge huyu umuuzie kanyumba kadogo kwa millioni 75 mpaka 90 kwa riba ya 11% kwa mwaka na rejesho la laki sita + kila mwezi halafu bado mkasema hapa kuna mnyonge anasaidiwa si kweli.

Ninachokiona mimi robo tatu ya waliochukuwa nyumba zile watanyang'anywa kwa kushindwa kurudisha marejesho kama mkataba wa kinyonyaji unavyotaka.

Hivyo basi ninamshauri Waziri Lukuvi na Mheshimiwa Rais wawanusuru wanyonge hawa kwa kuzifanyia uthamini upya nyumba zile na mikataba iandikwe upya ili watu wauziwe kwa bei ya haki Vitu kama hivi ndio vya serikali kupata credit kwa wananchi na serikali ikaonekana inawajali watu wake kwa kuingilia kati uhuni huu wa PSPF.

Naishauri serikali hakuna mnyonge yeyote nchi hii anayeweza kulipa rejesho kila mwezi la laki sita na riba kubwa kiasi hicho, kama setikali ni sikivu huu ndio muda wa kuitumbuwa bodi ya PSPF na kwa kuratibu unyonyaji huu na ifanyike tathimini upya na itolewe bei elekezi, kama ujenzi ulifanyika kifisadi gharama wasibebeshwe wananchi wezi wote walioliibia.

Taifa mahali wanapostahili ni jela tu.

Haiwezekani mnyonge huyu umuuzie kanyumba kadogo kwa millioni 75 mpaka 90 kwa riba ya 11% kwa mwaka na rejesho la laki + kila mwezi halafu bado mkasema hapa kuna mnyonge anasaidiwa si kweli.

Ninachokiona mimj robo tatu ya waliochukuwa nyumba zile watanyang'anywa kwa kushindwa kurudisha marejesho kama mkataba wa kinyonyaji unavyotaka.

Hivyo basi ninamshauri Waziri Lukuvi na Mheshimiwa Rais wawanusuru wanyonge hawa kwa kuzifanyia uthamini upya nyumba zile na mikataba iandikwe upya ili watu wauziwe kwa bei ya haki

Vitu kama hivi ndio vya serikali kupata credit kwa wananchi na serikali ikaonekana inawajali watu wake kwa kuingilia kati uhuni huu wa PSPF.

Naishauri serikali hakuna mnyonge yeyote nchi hii anayeweza kulipa rejesho kila mwezi la laki sita na riba kubwa kiasi hicho, kama setikali ni sikivu huu ndio muda wa kuitumbuwa bodi ya PSPF na kwa kuratibu unyonyaji huu na ifanyike tathimini upya na itolewe bei elekezi, kama ujenzi ulifanyika kifisadi gharama wasibebeshwe wananchi wezi wote walioliibia Taifa mahali wanapostahili ni jela tu.
Kwanza hao nyang'au watatumiaje fedha za wanachama kuanzisha miradi ya kifisadi pasipo wenye fedha zao kushirikishwa? Huu ni UBAKAJI wa wazi wazi. Haikubaliki hao matutusa wachezee fedha za wananchama pasipo kuwashirikisha.

Waziri wa Kilimo, mifugo na Uvuvi tatua matatizo ya wastaafu waliokua Mashirika ya Utafiti TARO na TALIRO.

Mashirika haya mawili yaliundwa kwa mujibu wa sheria mnamo tarehe 01/07/1982 kwa nia ya kuongeza ufanisi kwa kuwahamisha wafanyakazi wa kitengo cha utafiti wa iliyokuwa Wizara ya Kilimo na Mifugo wakati huo na kuwapeleka kwenye mashirika hayo mawili.Hata hivyo mnamo tarehe 30/06/1989 ajira za wafanyakazi zilirejeshwa waizarani.

Kwa bahati mbaya wafanyakazi hawa wanapofikia kustaafu wanakatwa kipindi chote cha miaka saba ambayo wamekua wakitumikia haya mashirika inagawaje walifanya kazi kwa uadilifu hadi kustaafu. Pamoja na miongozo iliowekwa na SSRA kuhusu majumuisho ya mafao lakini ukifika PSPF ambao ndio mfuko wa mwisho, na walitakiwa kuwasaidia hawa watu utapigwa danadana mpaka unapata kizunguzungu haswa ikizingatiwa umri umeenda. Kuna baadhi ya wafanya kazi pale (si wote) wanakutafutia visingizio likuki ili tu mradi usilipwe badala ya kukusaidia. Inafikia mahali unajiuliza hivi hizi fedha ni za kampuni binafsi au nia za mfuko ambao unachangiwa na wafanyakazi. Mbona wanakopesha watu fedha hizo bila marejesho kama inavyosemekana kwenye bunge?

Kwa heshima na taadhima Mheshiwa waziri wa Kilimo wewe ndio mwenye dhamana na mashirika haya tunakuomba ulitazame tatizo hili kwa jicho la huruma ili hawa wazee wasiendelee kunyanyaswa. Na tunaomba uwasiliane na waziri mwenzio mwenye dhamana na mifuko ya jamii maana yaelekea kua hii mifuko inafanya kazi kama hamna mamlaka nyingine juu yake ili mtatue tatizo hili ambalo limekua mwiba kwa wanaotarajiwa kustaaafu na ambao wamestaafu halafu hawajalipwa hadi sasa na wameshakata tamaa.

Hvi pspf ni ile ya aliofukuzwa dr dau kwa ufisadi au? Maana shirika hilo lina udini sana ukiwa na hijabu tu unabwebwa ndio maana wana roho mbaya..

Dau alikuwa NSSF, naomba tuweke udini pembeni, Rais anasoma hoja zetu JF sasa tusiharibu mada, wacha wahusika waje.

Ikumbukwe kwamba miradi ya low cost house scheme inayojengwa na hifadhi ya mifuko ya jamii lengo lake kuu ni kuwasaidia wanyonge, lakini ninachokiona mimi kwenye mradi wa nyumba hizi za PSPF buyuni chanika lengo lake ni kuwatia umaskini hao wanyonge.

Haiwezekani mnyonge huyu umuuzie kanyumba kadogo kwa millioni 75 mpaka 90 kwa riba ya 11% kwa mwaka na rejesho la laki + kila mwezi halafu bado mkasema hapa kuna mnyonge anasaidiwa si kweli.

Ninachokiona mimj robo tatu ya waliochukuwa nyumba zile watanyang'anywa kwa kushindwa kurudisha marejesho kama mkataba wa kinyonyaji unavyotaka.

Hivyo basi ninamshauri Waziri Lukuvi na Mheshimiwa Rais wawanusuru wanyonge hawa kwa kuzifanyia uthamini upya nyumba zile na mikataba iandikwe upya ili watu wauziwe kwa bei ya haki

Vitu kama hivi ndio vya serikali kupata credit kwa wananchi na serikali ikaonekana inawajali watu wake kwa kuingilia kati uhuni huu wa PSPF.

Naishauri serikali hakuna mnyonge yeyote nchi hii anayeweza kulipa rejesho kila mwezi la laki sita na riba kubwa kiasi hicho, kama setikali ni sikivu huu ndio muda wa kuitumbuwa bodi ya PSPF na kwa kuratibu unyonyaji huu na ifanyike tathimini upya na itolewe bei elekezi, kama ujenzi ulifanyika kifisadi gharama wasibebeshwe wananchi wezi wote walioliibia Taifa mahali wanapostahili ni jela tu.

Mkuu hiyo bodi una hoja nzur lakni suala la kusema bodi itumbuliwe wakati hata miezi miwili haijaisha tokea iundwe nadhan sio sawa.

Kwanza hao nyang'au watatumiaje fedha za wanachama kuanzisha miradi ya kifisadi pasipo wenye fedha zao kushirikishwa? Huu ni UBAKAJI wa wazi wazi. Haikubaliki hao matutusa wachezee fedha za wananchama pasipo kuwashirikisha.
Ulishawahi kushirikishwa kwenye mradi gani we nyang'au wa hii mifuko ya hifadhi kama we ni mmoja wa wachangiaji?

Mkuu hiyo bodi una hoja nzur lakni suala la kusema bodi itumbuliwe wakati hata miezi miwili haijaisha tokea iundwe nadhan sio sawa.
Kama bodi ni mpya basi waupitie upya mradi huu wa kinyonyaji ni kinyume kabisa hata na malengo ya serikali.

Kuna siri imejificha kwenye gharama halisi za ujenzi wa nyumba hizi, hapa ni lazima Rais na Lukuvi waingilie unyonyaji huu wanaofanyiwa Watanzani maskini.

Mkuu... Tule tunyumba ambato hata uwanja haupo ndio milioni 75?

Ndio hivyo mkuu, ndio maana wapenda haki tumeamuwa kupaza sauti, huu ni unyonyaji live bila chenga.

Ukitaka kujuwa low IQ za Watanzania thread kama hii kwao haina maana ila andika siasa za kipuuzi na uchumba wa Zari na Diamond uone watakavyojaa.

Nauliza:-
Hivi, sheria ya kuanzisha hii mifuko ya kijamii kuna mahali panampa mwanachama haki ya kushirikishwa katika matumizi na miradi inayoanzishwa na mifuko hii?
Kama kipo kifungu hicho, ni kwanini hawashirikishwi? Kwa maana ya kuwa wanachama si ndio wenye Pesa na maamuzi ya Pesa zao inabidi washieikishwe?
Kama hakuna kifungu hicho, mwanachama anashirikishwaje zaidi ya kuchangia?
Nauliza hivi kutokana na jinsi mifuko hii inavyojianzishia miradi butu isiyo na faida kwa wanachama wao.
Wadau na wanasheria mliomo humu, shime anzisheni malumbano ya kisheeia kuwakomboa wazazi wenu waliopo kwenye mifuko hii ili washirikishe na ikibidi zuieni miradi inayoanzishwa na mifuko hii isiyo na maslahi mapana kwa wanachama.
Nawasilisha kwa uchungu kwani nakaribia kustaafu na kusumbuliwa kwa michango niliyoichangia.

Ikumbukwe kwamba miradi ya low cost house scheme inayojengwa na hifadhi ya mifuko ya jamii lengo lake kuu ni kuwasaidia wanyonge, lakini ninachokiona mimi kwenye mradi wa nyumba hizi za PSPF buyuni chanika lengo lake ni kuwatia umaskini hao wanyonge.

Haiwezekani mnyonge huyu umuuzie kanyumba kadogo kwa millioni 75 mpaka 90 kwa riba ya 11% kwa mwaka na rejesho la laki sita + kila mwezi halafu bado mkasema hapa kuna mnyonge anasaidiwa si kweli.

Ninachokiona mimi robo tatu ya waliochukuwa nyumba zile watanyang'anywa kwa kushindwa kurudisha marejesho kama mkataba wa kinyonyaji unavyotaka.

Hivyo basi ninamshauri Waziri Lukuvi na Mheshimiwa Rais wawanusuru wanyonge hawa kwa kuzifanyia uthamini upya nyumba zile na mikataba iandikwe upya ili watu wauziwe kwa bei ya haki Vitu kama hivi ndio vya serikali kupata credit kwa wananchi na serikali ikaonekana inawajali watu wake kwa kuingilia kati uhuni huu wa PSPF.

Naishauri serikali hakuna mnyonge yeyote nchi hii anayeweza kulipa rejesho kila mwezi la laki sita na riba kubwa kiasi hicho, kama setikali ni sikivu huu ndio muda wa kuitumbuwa bodi ya PSPF na kwa kuratibu unyonyaji huu na ifanyike tathimini upya na itolewe bei elekezi, kama ujenzi ulifanyika kifisadi gharama wasibebeshwe wananchi wezi wote walioliibia.

Taifa mahali wanapostahili ni jela tu.
Kwani lukuvi hajui ?

Ndio hivyo mkuu, ndio maana wapenda haki tumeamuwa kupaza sauti, huu ni unyonyaji live bila chenga.

Ukitaka kujuwa low IQ za Watanzania thread kama hii kwao haina maana ila andika siasa za kipuuzi na uchumba wa Zari na Diamond uone watakavyojaa.
Dah... Yani zile nyumba hata sehemu ya kupaki gari hamna, hata sehemu ya kuoanda tembele hakuna ndio watuuzie milion 75? Hakika watanunua wenyewe.

Mambo kama haya ndio ilibidi watanzania tuoneshe nguvu ya mitandao, badala yake wako bize na kina Wema.

Inashangaza sana kwakweli, na ndio maana wahusika wanaweka pamba masikioni kwa sababu wanawajuwa vyema watu wanaowaongoza hawako serious na vitu vyenye tija zaidi ya kukalia upuuzi tu.

Imagine Taifa ambalo Mange Kimambi ni source of information hivi hilo ni Taifa la namna gani?

Back
Top Bottom