Rais Magufuli na Museveni wameagiza mawaziri wa nchi kujadili namna ya kuongeza biashara kati ya Tanzania na Uganda

Donatila

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,557
21,495
index.jpeg
index.jpeg
 
Gerson Msigwa hata wewe, email kwa kiswahili ni barua pepe.
Najua utalifanyia kazi utake usitake.
 
Vioja.Tunaua uhusiano na Kenya..Uchumi mkubwa EA

Yapo mambo ya msingi ya kujadili

mfumuko wa Bei

bei ya sukari ni hatari

Uchumi umekuwa - Deni la Taifa lakuwa

Shillingi kudorora- Uchumi umekuwa

Biashara sekta binafsi zinakufa...TRA wanakusanya wapi kodi?
 
Back
Top Bottom