Rais Magufuli na Museveni wameagiza mawaziri wa nchi kujadili namna ya kuongeza biashara kati ya Tanzania na Uganda


S

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Messages
4,074
Likes
6,514
Points
280
S

Sexless

JF-Expert Member
Joined Mar 11, 2017
4,074 6,514 280
Habari za hawa jamaa 2 sitaki kuzisikia kabisaa!
 
M

mtayeshelwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2011
Messages
936
Likes
241
Points
60
M

mtayeshelwa

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2011
936 241 60
Hongera sana wakuu wa nchi.
 
pangalashaba

pangalashaba

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2011
Messages
1,219
Likes
1,102
Points
280
pangalashaba

pangalashaba

JF-Expert Member
Joined Jan 10, 2011
1,219 1,102 280
Gerson Msigwa hata wewe, email kwa kiswahili ni barua pepe.
Najua utalifanyia kazi utake usitake.
 
M

MPadmire

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
2,925
Likes
1,326
Points
280
Age
50
M

MPadmire

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
2,925 1,326 280
Vioja.Tunaua uhusiano na Kenya..Uchumi mkubwa EA

Yapo mambo ya msingi ya kujadili

mfumuko wa Bei

bei ya sukari ni hatari

Uchumi umekuwa - Deni la Taifa lakuwa

Shillingi kudorora- Uchumi umekuwa

Biashara sekta binafsi zinakufa...TRA wanakusanya wapi kodi?
 
S

songera

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2014
Messages
1,290
Likes
449
Points
180
S

songera

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2014
1,290 449 180
Uchumi mkubwa wa kenya una faida gani kwa tanzania kama na sio nyumbu?
 

Forum statistics

Threads 1,215,430
Members 463,206
Posts 28,547,834