Rais Magufuli na Museven kuzindua mradi wa Bomba la Mafuta kutoka Uganda wiki ijayo

Interest

JF-Expert Member
Apr 11, 2015
3,204
2,000
Jumamosi ijayo ya Tarehe 5 mwezi Agosti 2017, Rais John Pombe Magufuli na Rais wa Jamhuri ya Uganda, Yoweri Kaguta Museven wataweka jiwe la Msingi la mradi wa Bomba la kusafirishia mafuta ghafi la Afrika Mashariki kutoka Hoima nchini Uganda hadi Bandari ya Tanga nchini Tanzania.

Mradi huu ni moja ya miradi mikubwa ambayo nchi yetu imepata Tangu serikali ya Awamu ya 5 iingie madarakani na uwezekaji wake unagharimu Dola Bilioni 3.5 ambazo ni sawa na Trilioni 8 za Kitanzania.

museven.jpg
 

Victoire

JF-Expert Member
Jul 4, 2008
18,786
2,000
Go Magufuli,tuwapite wakenya tuwe the Boss wa East Africa kiuchumi,na tuendelee kuchanja mbunga hope ipo siku ile G7 itakuwa G8 and the 8th is Tanzania.Why not [HASHTAG]#Determination[/HASHTAG],hardwoking na displine.
 

The CIA

JF-Expert Member
May 5, 2017
479
500
Go Magufuli,tuwapite wakenya tuwe the Boss wa East Africa kiuchumi,na tuendelee kuchanja mbunga hope ipo siku ile G7 itakuwa G8 and the 8th is Tanzania.Why not [HASHTAG]#Determination[/HASHTAG],hardwoking na displine.
Acha kunifariji kwa kiasi hicho.

Sent by The CIA
 

Mugabe one

JF-Expert Member
Nov 15, 2016
2,340
2,000
Bandugu zangu hamjambiii? Sorry, hamjambooo!
Ninayofuraha kuwataarifu kwamba mheshimiwa Rais J p Magufuli atakuwa Tanga tarehe 5/8/2017 kuweka jiwe la msingi Ujenzi wa Bomba la mafuta akiwa pamoja na Yuweri Museveni.
IMG-20170728-WA0011.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom