Rais Magufuli na Mkewe wamtembelea Kardinali Pengo

MsemajiUkweli

JF-Expert Member
Jul 5, 2012
13,172
23,975
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli na Mkewe, Mama Janeth Magufuli wamemtembelea Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Katoliki Dar es salaam, Muadhama Kardinali Polycarp Pengo ili kumpa pole kufuatia kifo cha dada yake.

Rais na Mkewe wamekutana na Muadhama Kardinali Polycarp Pengo katika makazi yake Kurasini jijini Dar es Salaam.
POLC2.jpg

POLC3.jpg

POLC1.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakiongea na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Katoliki Dar es salaam Muadhama Kardinali Polycarp Pengo.
 
Tumuuombee Baba Kardinali Polycarp Pengo. Bado hajawa fiti kabisa. ukicheki picha zake nyingi hapo utagundua. Sina maana mbaya. Si mkuu anatuhimiza tumuuombee.
 
Kitengo kikuu kimetembelewa na subordinate dah for the first time I can see mama Janeth is smiling.

[HASHTAG]#BringbackBenAlive[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom