Rais Magufuli na mizega-zega yake ya vyeo na madaraka

Ki Mun

JF-Expert Member
Oct 6, 2014
3,443
4,384
Waja walinena 'Mwungwana ni Vitendo'....not empty rhetoric!

1. Rais Magufuli hadharani anakemea wengine kujilimbikizia vyeo lakini yeye ameukubali mzega-mzega wa Urais na Uenyekiti wa CCM...

2. Anakemea kujilimbikizia madaraka lakini wakati huo huo amemnyang'anya Waziri Mkuu madaraka yake kwa kuhamishia TAMISEMI ofisini kwake kiasi sasa Simbachawene ana nguvu kuliko Waziri Mkuu...

Urais ni taasisi kubwa mno yafaa mtu mwenye dhamana hiyo aelewe alichokibeba na awe mkweli tu...it won't cost him akiwa mkweli,DOUBLE-STANDARDS HAZILIPI!
 
Akiisoma itamsaidia,

Rais anajua kuwa ukiwa unatembea kanuni inalazimisha mguu kutofautiana na mkono wa upande husika.

Sasa inaonekana kabisa rais anatembea kwa staili mpya yaani anapiga hatua kila mguu unalandana na mkono wake.

Asomaye ajaribu kutembea mguu na mkono wake aone, halafu atupe mrejesho.
 
Hapo kwenye Majukumu ya waziri mkuu kuamishiwa kwenye ofisi yake ni kweli kabisa,
Nilikua najiuliza huyu waziri mkuu yuko wapi kumbe Simbachawene kampoka kupitia ofisi ya rais.
 
......akishauriwa na kuelewa arudishe tamisemi kwa PM! Ili Majaliwa awe busy na tamisemi ambapo ndio atakuwa kweli ni PM wa maendeleo! Ama la! Kuna double and equal allocation ya power....kwa Majaliwa na Waziri wa Tamisemi!
 
Back
Top Bottom