Allency
JF-Expert Member
- Jan 27, 2011
- 13,697
- 13,080
So wale waliokimbizwa Muhimbili amri ulitoa wewe. Kuandika kingereza ndo kumekufanya uonekane elimu haijakusaidia. JPM anakwenda Moro na mgeni wake kwa mambo ya kihistoria na it’s obvious kwamba ni busara kupitia eneo la tukio lililoua watu karibu mia (82). So stop your nonsense for once and write something ya kusaidia afya ya akili yako.
Mgeni na kwenda kuwa comfort wafiwa wakati tukio limetokea kipi muhimu? Oli•enz’ wang’uu