Rais Magufuli na mbinu ya Charm offensive: Ujuha wa Chadema

Kama kuna kitu inabidi nimsifu au niwasifu washauri wa kisiasa wa rais Magufuli ni uwezo wake wa kuwatumia mahasimu wake kujipandisha chati kisiasa.

Tekniki mojawapo ambayo rais Magufuli ameonekana kuimaster ni kukuminya kisha akakutumia wewe mwenyewe kumsafisha na athari za kibinyo chake mbele ya umma na Mataifa.

Hebu angalia mbinu hizi
1. Makanisa yanatoa waraka mzito, Serikali inahaha kuuzima inashindikana, waraka unasambaa kama moto wa kiangazi, Serikali inaamua kutumia rungu lake kama dola kudeal. na baadhi ya viongozi wa dini, lakini hili nalo linashindwa kuuzima moto wa waraka.

Kisha Magufuli anakuja na wazo la Kuwaita viongozi wa dini Ikulu. Viongozi wanashindana kuzungumza kwa kumsifu bwana mkubwa, sifa kede kede zinamwagwa LIVE kwenye TV almost Nusu Siku ya kazi.

MATOKEO YAKE NINI?
Rais Magufuli anaibuka kidedea, Walewale waliomwandikia waraka mzito ndo wakawa wa kwanza kumsafisha, kawapa charm offensive ya kukaribishwa Ikulu wakaanza kuona kuwa huyu bwana mkubwa kumbe ni mtu safi!.

Tujiulize, Kuna kilichobadirika baada ya waraka?, Mbona basi miaka miwili baadae Utawala wa Magufuli umeenda kufanya yale yale kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa?

2. Mfano wa pili, Wafanyabiashara!
Serikali ya Magufuli, iliharibu sekta binafsi, Kodi zikawa hazieleweki, biashara zikaanza kuyumba, kila kona ya nchi kilio kuwa sekta binafsi inakufa. Alichokifanya bwana mkubwa ni nini?.

Kuwaita Wafanyabiashara Ikulu, kuwapa airtime, wafanyabiashara wakaanza kumsifu mheshimiwa, na kuanza kuitupia lawama TRA. Yaani wafanyabiashara walewale wakamsafisha Magufuli mbele ya umma huku lawama zikienda kwa TRA. Umeuona ugenius wa Magufuli kwenye kucheza na makundi ya kijamii?

3. Issue ya Mo
Serikali ilipata lawama sana jinsi ilivyohandle issue ya Mo, mpaka sasa haijulikani nani almteka Mo. Umma una concensus yake kuhusu hili suala, Sasa namna gani serikali itajisafisha kuhusu Mo?. Ni mheshimiwa kuwa mgeni rasmi kwenye ufunguzi wa kiwanda (ambacho sidhani kama kweli kipo) na TV kuonyesha live kuwa kumbe hakuna bifu

4. Issue ya Assad na Trlion 1.5
Assad anaitwa Ikulu mbele ya Camera, anaulizwa makusudi eti serikali imepiga Trilion 1.5, Assad akiwa amewekwa kwenye kona ya kimamlaka anatamka "hakuna kitu kama hicho", Hapo tayari message imeshatumwa kwa skepticals kuwa mheshimiwa yuko Safi ila anazushiwa.

5. Sasa Chadema
Hawa Jamaa wameminywa kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, huko mitaani wananchi wanawawekea question mark viongozi waliowekewa kimabavu na serikali ya CCM, migogoro ya kuwakataa hawa viongozi inaanza kuibuka mmoja baada ya mwingine.

Kwa calculations za Serikali ni kwamba inahitajika Meseji au semblance ya Meseji kutoka kwa wapinzani kwenda kwa umma ili kuonyesha kuwa mambo ni shwari, peace tu.

Pia inahitajika kuwatumia wapinzani hawahawa kwenda kwa Wahisani kuwasimanga wahisani waliohoji issue za uchaguzi wa serikali za mitaa kuwa pamoja na Kuminywa kwa upinzani lakini sisi ni Taifa moja n. k.

CHADEMA wakapewa charm offensive ili watumiwe kwenye propaganda za serikali ya CCM, nao bila kung'amua wakajaa wazimawazima. Na kweli serikali ya CCM imefanikiwa kutuma meseji kwa umma unaolilia kunyang'anywa haki ya kuchagua viongozi wao kuwa kumbe "Wakubwa wanaelewana, hivyo basi mambo yako shwari".

HITIMISHO:

CHADEMA wameuza mechi kwenye suala la kwenda kwenye haya maadhimisho ya mwaka huu. Wameipa serikali ya CCM ushindi mkubwa mno wa kipropaganda wa kuonyesha kuwa mambo yako shwari nchini

CHADEMA wanajidanganya wanapoenda kuomba demokrasia kwa raisi Magufuli. Rais Magufuli anajua anachofanya, na amedhamiria kukifanya na huenda akaendelea kukifanya.

Raisi mwenye uwezo wa kukariri sheria za barabara hashindwi kufahamu ibara za katiba juu ya Demokrasia nchini. Lakini ameamua aliyoyaamua.

Sasa CHADEMA kwa Naivety yao wanadhani wao ndo wana jukumu la kutunza amani zaidi kuliko serikali ya CCM!. Ajabu hii

CHADEMA wataendelea kupewa mkong'oto, hali ikionekana kuharibu taswira ya nchi wataitwa tena LIVE kwenye TV kuwapa Photo Op, watawala, kisha wataendelea kupewa mkong'oto na cycle itajirudia.

Nachukia sana jina Nyumbu na mfano wake, lakini ni Nyumbu ambaye huliwa na Simba, kisha baada ya muda mfupi wenzie waliobaki hujisahau, huamini maisha yatakuwa mazuri na hachukui tahadhari yoyote mpaka pale Simba anaposhambulia tena ndipo hukumbuka kuleta kashkash za hapa na pale kisha hujisahau tena!
Daaah we jamaa una akili sana, mungu akubariki sana
 
SIJAONA MATUNDA YA CHADEMA KWENDA PALE KWANZA MANENO AMBAYO MBOWE ALIYAONGEA MKUU HAKUYAPENDA ANGALIA ILE CLIP THEN MSOME BOSS ALIVYOKUWA ANAMSIMILIZA INAONYESHA FIKA HAKUWA AKIYAPENDA YAKE MANENO YA MBOWE NA WALA HATOKUJA KUYAISHI
Unadhani asipoyaishi tatizo ni LA nani? Mbowe ameshamaliza wajibu wake! Hana lawama tena.
Nimemsikia mtu mmoja mzito sana kwa kinywa chake akisema "mzee ni mbishi sana, lakini hapa tumewekwa kwenye kona mbaya na tunaendelea kumwambia".
Sasa kwa nini huku nje tudharau? Mnaona hao Chadema, wamemwaga ujumbe kisha wao kimyaaa wanaendelea na Chaguzi zao. Mwenye kelele ni yule mdandiaji wa Kigoma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kusema kweli pale Chadema walionekana kama vikaragosi fulani, walijishusha hadhi mbele ya uma. Baada ya kitendo kile wengi sasa tumepoteza muelekeo juu yao. CHADEMA mulichokifanya ni kosa la mwaka!
Kosa la mwaka wamefanya TBC kumute shangwe la wananchi jina la Mbowe likitajwa
 
Kama kuna kitu inabidi nimsifu au niwasifu washauri wa kisiasa wa rais Magufuli ni uwezo wake wa kuwatumia mahasimu wake kujipandisha chati kisiasa.

Tekniki mojawapo ambayo rais Magufuli ameonekana kuimaster ni kukuminya kisha akakutumia wewe mwenyewe kumsafisha na athari za kibinyo chake mbele ya umma na Mataifa.

Hebu angalia mbinu hizi
1. Makanisa yanatoa waraka mzito, Serikali inahaha kuuzima inashindikana, waraka unasambaa kama moto wa kiangazi, Serikali inaamua kutumia rungu lake kama dola kudeal. na baadhi ya viongozi wa dini, lakini hili nalo linashindwa kuuzima moto wa waraka.

Kisha Magufuli anakuja na wazo la Kuwaita viongozi wa dini Ikulu. Viongozi wanashindana kuzungumza kwa kumsifu bwana mkubwa, sifa kede kede zinamwagwa LIVE kwenye TV almost Nusu Siku ya kazi.

MATOKEO YAKE NINI?
Rais Magufuli anaibuka kidedea, Walewale waliomwandikia waraka mzito ndo wakawa wa kwanza kumsafisha, kawapa charm offensive ya kukaribishwa Ikulu wakaanza kuona kuwa huyu bwana mkubwa kumbe ni mtu safi!.

Tujiulize, Kuna kilichobadirika baada ya waraka?, Mbona basi miaka miwili baadae Utawala wa Magufuli umeenda kufanya yale yale kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa?

2. Mfano wa pili, Wafanyabiashara!
Serikali ya Magufuli, iliharibu sekta binafsi, Kodi zikawa hazieleweki, biashara zikaanza kuyumba, kila kona ya nchi kilio kuwa sekta binafsi inakufa. Alichokifanya bwana mkubwa ni nini?.

Kuwaita Wafanyabiashara Ikulu, kuwapa airtime, wafanyabiashara wakaanza kumsifu mheshimiwa, na kuanza kuitupia lawama TRA. Yaani wafanyabiashara walewale wakamsafisha Magufuli mbele ya umma huku lawama zikienda kwa TRA. Umeuona ugenius wa Magufuli kwenye kucheza na makundi ya kijamii?

3. Issue ya Mo
Serikali ilipata lawama sana jinsi ilivyohandle issue ya Mo, mpaka sasa haijulikani nani almteka Mo. Umma una concensus yake kuhusu hili suala, Sasa namna gani serikali itajisafisha kuhusu Mo?. Ni mheshimiwa kuwa mgeni rasmi kwenye ufunguzi wa kiwanda (ambacho sidhani kama kweli kipo) na TV kuonyesha live kuwa kumbe hakuna bifu

4. Issue ya Assad na Trlion 1.5
Assad anaitwa Ikulu mbele ya Camera, anaulizwa makusudi eti serikali imepiga Trilion 1.5, Assad akiwa amewekwa kwenye kona ya kimamlaka anatamka "hakuna kitu kama hicho", Hapo tayari message imeshatumwa kwa skepticals kuwa mheshimiwa yuko Safi ila anazushiwa.

5. Sasa Chadema
Hawa Jamaa wameminywa kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, huko mitaani wananchi wanawawekea question mark viongozi waliowekewa kimabavu na serikali ya CCM, migogoro ya kuwakataa hawa viongozi inaanza kuibuka mmoja baada ya mwingine.

Kwa calculations za Serikali ni kwamba inahitajika Meseji au semblance ya Meseji kutoka kwa wapinzani kwenda kwa umma ili kuonyesha kuwa mambo ni shwari, peace tu.

Pia inahitajika kuwatumia wapinzani hawahawa kwenda kwa Wahisani kuwasimanga wahisani waliohoji issue za uchaguzi wa serikali za mitaa kuwa pamoja na Kuminywa kwa upinzani lakini sisi ni Taifa moja n. k.

CHADEMA wakapewa charm offensive ili watumiwe kwenye propaganda za serikali ya CCM, nao bila kung'amua wakajaa wazimawazima. Na kweli serikali ya CCM imefanikiwa kutuma meseji kwa umma unaolilia kunyang'anywa haki ya kuchagua viongozi wao kuwa kumbe "Wakubwa wanaelewana, hivyo basi mambo yako shwari".

HITIMISHO:

CHADEMA wameuza mechi kwenye suala la kwenda kwenye haya maadhimisho ya mwaka huu. Wameipa serikali ya CCM ushindi mkubwa mno wa kipropaganda wa kuonyesha kuwa mambo yako shwari nchini

CHADEMA wanajidanganya wanapoenda kuomba demokrasia kwa raisi Magufuli. Rais Magufuli anajua anachofanya, na amedhamiria kukifanya na huenda akaendelea kukifanya.

Raisi mwenye uwezo wa kukariri sheria za barabara hashindwi kufahamu ibara za katiba juu ya Demokrasia nchini. Lakini ameamua aliyoyaamua.

Sasa CHADEMA kwa Naivety yao wanadhani wao ndo wana jukumu la kutunza amani zaidi kuliko serikali ya CCM!. Ajabu hii

CHADEMA wataendelea kupewa mkong'oto, hali ikionekana kuharibu taswira ya nchi wataitwa tena LIVE kwenye TV kuwapa Photo Op, watawala, kisha wataendelea kupewa mkong'oto na cycle itajirudia.

Nachukia sana jina Nyumbu na mfano wake, lakini ni Nyumbu ambaye huliwa na Simba, kisha baada ya muda mfupi wenzie waliobaki hujisahau, huamini maisha yatakuwa mazuri na hachukui tahadhari yoyote mpaka pale Simba anaposhambulia tena ndipo hukumbuka kuleta kashkash za hapa na pale kisha hujisahau tena!
Haterage has never brought peace. Umezoea kuona CCM ikihodhi sherehe na mali za taifa na kukuaminisha ni za CCM. Sherehe za Uhuru ni za watanganyika wote walio na wasio na vyama, hivyo Chadema hawakuhudhuria sherehe za CCM kama unavyodhani wewe.
 
Najiuliza.
Nani hasa alikosea hadi hadi Mbowe aombe maridhiano kwa Mheshimiwa Raisi siku ya Uhuru wa Tanganyika ?
Na makosa hayo ni yepi ?Ni Kweli sasa hivi nchi inahitaji na inasubiri Maridhiano ?
Ninavyo fahamu licha ya kusheherekea Uhuru wa Tanganyika Jambo ambalo sio la Kichama, tarehe tisa mwezi wa Kumi na mbili Ni siku ya Kuzaliwa ya Mheshimiwa Mbowe, hivyo alikua na kila sababu ya kuisheherekea.

3.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natambua na kuheshimu mawazo yako lakini naomba kupishana nawe,mkuu. Nilivyoelewa mimi ni kwamba, CHADEMA wamejibu swali la "mlifanya nini kutafuta maridhiano ya kitaifa". Washafanya mengi kea njia za kistaarabu kuendesha siasa japo wanasulubiwa sana na JPM. Hapa naona wamesema "tuwasilishe hili suala katika jukwaa kubwa kabisa ambalo nchi nzima itaona". Yes, hotuba ya dakika moja imesikika na kujadiliwa nchi nzima. JPM kaingizwa mtegoni. Kea hulka yake hatakaa kujadiliana nao wapinzani lakini CHADEMA walishatimiza wajibu wao
 
Najiuliza.
Nani hasa alikosea hadi hadi Mbowe aombe maridhiano kwa Mheshimiwa Raisi siku ya Uhuru wa Tanganyika ?
Na makosa hayo ni yepi ?Ni Kweli sasa hivi nchi inahitaji na inasubiri Maridhiano ?
Ninavyo fahamu licha ya kusheherekea Uhuru wa Tanganyika Jambo ambalo sio la Kichama, tarehe tisa mwezi wa Kumi na mbili Ni siku ya Kuzaliwa ya Mheshimiwa Mbowe, hivyo alikua na kila sababu ya kuisheherekea.

3.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mandela aliomba maridhiano na makaburu, nani alikosewa. Tatizo letu lipo kwenye kuangalia mtu badala ya jambo, tunashuhudia hoja moja iliyotolewa na watu wawili tofauti ikawa na mitazamo miwili tofauti toka kwa mtu mmoja, tunajifanya tunajua sana siasa hata pasipohusu siasa.
Maridhiano ni uungwana hauhitaji kumkosea au kukosewa na mtu, kuna watu ukiwakanyaga kwa bahati mbaya wanaomba samahani hawasubiri kuombwa samahani na watu hao ni pamoja na mhe. Mbowe.
 
Mkuu mbona umesahau category nyingine? Mfano wafanyakazi aliwaita pia ikulu wakalumbana wao kwa wao kama kuna haja ya kuongezwa mishahara na increment the then wakaona hakuja haja ya kuongezwa mishahara mkulu akaibuka kidedea!
 
Yes huu pia ni mfano mwingine wa jinsi Magufuli anavyotumia wahanga wake walewale kujisafisha na kujifanya mtu mwema
 
Najiuliza.
Nani hasa alikosea hadi hadi Mbowe aombe maridhiano kwa Mheshimiwa Raisi siku ya Uhuru wa Tanganyika ?
Na makosa hayo ni yepi ?Ni Kweli sasa hivi nchi inahitaji na inasubiri Maridhiano ?
Ninavyo fahamu licha ya kusheherekea Uhuru wa Tanganyika Jambo ambalo sio la Kichama, tarehe tisa mwezi wa Kumi na mbili Ni siku ya Kuzaliwa ya Mheshimiwa Mbowe, hivyo alikua na kila sababu ya kuisheherekea.

3.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kusherehekea uhuru siyo lazima kwenda mwanza ukatumiwe kipropaganda na serikali ya CCM inayokuchezea rafu kila siku.

Unaweza kushiriki sherehe za Uhuru hata kwa kuitisha kongamano lako mwenyewe ukafanya reflection tumetoka wapi, tuko wapi na tunakwenda wapi, au unaweza kuchangia damu, au vyovyote vile.

Kwani tulipofanya usafi wa wa kitaifa miaka minne iliyopita haikuwa kusherehekea uhuru?

Kusherehekea uhuru siyo lazima uusherehekee kwa staili ya Magufuli anavyotaka.

Wewe kwa akili zako unadhani CHADEMA wamekodi ndege kutoka Dar kwenda Mwanza kwa sababu ni wazalendo sana wa kwenda kuangalia gwaride uwanjani?
 
Kama kuna kitu inabidi nimsifu au niwasifu washauri wa kisiasa wa rais Magufuli ni uwezo wake wa kuwatumia mahasimu wake kujipandisha chati kisiasa.

Tekniki mojawapo ambayo rais Magufuli ameonekana kuimaster ni kukuminya kisha akakutumia wewe mwenyewe kumsafisha na athari za kibinyo chake mbele ya umma na Mataifa.

Hebu angalia mbinu hizi
1. Makanisa yanatoa waraka mzito, Serikali inahaha kuuzima inashindikana, waraka unasambaa kama moto wa kiangazi, Serikali inaamua kutumia rungu lake kama dola kudeal. na baadhi ya viongozi wa dini, lakini hili nalo linashindwa kuuzima moto wa waraka.

Kisha Magufuli anakuja na wazo la Kuwaita viongozi wa dini Ikulu. Viongozi wanashindana kuzungumza kwa kumsifu bwana mkubwa, sifa kede kede zinamwagwa LIVE kwenye TV almost Nusu Siku ya kazi.

MATOKEO YAKE NINI?
Rais Magufuli anaibuka kidedea, Walewale waliomwandikia waraka mzito ndo wakawa wa kwanza kumsafisha, kawapa charm offensive ya kukaribishwa Ikulu wakaanza kuona kuwa huyu bwana mkubwa kumbe ni mtu safi!.

Tujiulize, Kuna kilichobadirika baada ya waraka?, Mbona basi miaka miwili baadae Utawala wa Magufuli umeenda kufanya yale yale kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa?

2. Mfano wa pili, Wafanyabiashara!
Serikali ya Magufuli, iliharibu sekta binafsi, Kodi zikawa hazieleweki, biashara zikaanza kuyumba, kila kona ya nchi kilio kuwa sekta binafsi inakufa. Alichokifanya bwana mkubwa ni nini?.

Kuwaita Wafanyabiashara Ikulu, kuwapa airtime, wafanyabiashara wakaanza kumsifu mheshimiwa, na kuanza kuitupia lawama TRA. Yaani wafanyabiashara walewale wakamsafisha Magufuli mbele ya umma huku lawama zikienda kwa TRA. Umeuona ugenius wa Magufuli kwenye kucheza na makundi ya kijamii?

3. Issue ya Mo
Serikali ilipata lawama sana jinsi ilivyohandle issue ya Mo, mpaka sasa haijulikani nani almteka Mo. Umma una concensus yake kuhusu hili suala, Sasa namna gani serikali itajisafisha kuhusu Mo?. Ni mheshimiwa kuwa mgeni rasmi kwenye ufunguzi wa kiwanda (ambacho sidhani kama kweli kipo) na TV kuonyesha live kuwa kumbe hakuna bifu

4. Issue ya Assad na Trlion 1.5
Assad anaitwa Ikulu mbele ya Camera, anaulizwa makusudi eti serikali imepiga Trilion 1.5, Assad akiwa amewekwa kwenye kona ya kimamlaka anatamka "hakuna kitu kama hicho", Hapo tayari message imeshatumwa kwa skepticals kuwa mheshimiwa yuko Safi ila anazushiwa.

5. Sasa Chadema
Hawa Jamaa wameminywa kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, huko mitaani wananchi wanawawekea question mark viongozi waliowekewa kimabavu na serikali ya CCM, migogoro ya kuwakataa hawa viongozi inaanza kuibuka mmoja baada ya mwingine.

Kwa calculations za Serikali ni kwamba inahitajika Meseji au semblance ya Meseji kutoka kwa wapinzani kwenda kwa umma ili kuonyesha kuwa mambo ni shwari, peace tu.

Pia inahitajika kuwatumia wapinzani hawahawa kwenda kwa Wahisani kuwasimanga wahisani waliohoji issue za uchaguzi wa serikali za mitaa kuwa pamoja na Kuminywa kwa upinzani lakini sisi ni Taifa moja n. k.

CHADEMA wakapewa charm offensive ili watumiwe kwenye propaganda za serikali ya CCM, nao bila kung'amua wakajaa wazimawazima. Na kweli serikali ya CCM imefanikiwa kutuma meseji kwa umma unaolilia kunyang'anywa haki ya kuchagua viongozi wao kuwa kumbe "Wakubwa wanaelewana, hivyo basi mambo yako shwari".

HITIMISHO:

CHADEMA wameuza mechi kwenye suala la kwenda kwenye haya maadhimisho ya mwaka huu. Wameipa serikali ya CCM ushindi mkubwa mno wa kipropaganda wa kuonyesha kuwa mambo yako shwari nchini

CHADEMA wanajidanganya wanapoenda kuomba demokrasia kwa raisi Magufuli. Rais Magufuli anajua anachofanya, na amedhamiria kukifanya na huenda akaendelea kukifanya.

Raisi mwenye uwezo wa kukariri sheria za barabara hashindwi kufahamu ibara za katiba juu ya Demokrasia nchini. Lakini ameamua aliyoyaamua.

Sasa CHADEMA kwa Naivety yao wanadhani wao ndo wana jukumu la kutunza amani zaidi kuliko serikali ya CCM!. Ajabu hii

CHADEMA wataendelea kupewa mkong'oto, hali ikionekana kuharibu taswira ya nchi wataitwa tena LIVE kwenye TV kuwapa Photo Op, watawala, kisha wataendelea kupewa mkong'oto na cycle itajirudia.

Nachukia sana jina Nyumbu na mfano wake, lakini ni Nyumbu ambaye huliwa na Simba, kisha baada ya muda mfupi wenzie waliobaki hujisahau, huamini maisha yatakuwa mazuri na hachukui tahadhari yoyote mpaka pale Simba anaposhambulia tena ndipo hukumbuka kuleta kashkash za hapa na pale kisha hujisahau tena!
Anampenda Mungu. Na ili umpende Mungu, unaanza na watu wake kwanza. Huwezi ukawachukia watu halafu ukadai unampenda Mungu, na huwezi ukawa unampenda Mungu halafu ukawa uko mbali na watumishi wa Mungu. Katika ulimwengu wa mwili, Nchi yetu inalindwa na JWTZ, na kwenye ulimwengu wa roho, inalindwa na Watumishi wa Mungu kama vile Masheikh, Maaskofu, Mapadre, Wachungaji, Wazee wa Kanisa, etc. Nikuhakikishie kuwa huu ndiyo ukweli ulivyo na I'm very smart at these things kwa sasa kwa sababu nimekuja kuvijua katika umri wa miaka 40+. Yaani nikikwambia kitu ni uhakika, japo ukinilazimisha kukupa proof naweza wakati mwingine nisiweze kufanya hivyo!
 
Najiuliza.
Nani hasa alikosea hadi hadi Mbowe aombe maridhiano kwa Mheshimiwa Raisi siku ya Uhuru wa Tanganyika ?
Na makosa hayo ni yepi ?Ni Kweli sasa hivi nchi inahitaji na inasubiri Maridhiano ?
Ninavyo fahamu licha ya kusheherekea Uhuru wa Tanganyika Jambo ambalo sio la Kichama, tarehe tisa mwezi wa Kumi na mbili Ni siku ya Kuzaliwa ya Mheshimiwa Mbowe, hivyo alikua na kila sababu ya kuisheherekea.

3.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hakuna cha maridhiano, Mbowe anaomba huruma upinzani usionewe
 
Back
Top Bottom