Rais Magufuli na Makamu wa Rais Samia wapo nje ya nchi, Je Ikulu yupo nani?

Sir John Roberts

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
9,562
15,909
Ni swali la ufahamu tu mnijuze mimi sijui nimeona kwenye taarifa ya habari Rsis Magufuli yupo Afrika Kusini na makamu wake Bi.Samia yupo visiwa vya Comoro.

Sasa nauliza hivi sasa nchini hapa Rais anayeongoza pale ofisi za Ikulu magogoni ni nani?

Karibuni wakuu mtujuze naamini wengi tutajifunza.
 
Swali la kizushi.

Muulizaji anulizia kitendo cha wote kutokuwepo ikulu.

Nadhani wapo watakaokuja kujibu kuhusu kitendo
 
Swali la Civics lakini na wewe limekushinda! PM hayupo kwenye line of succession! Unamuingiza vipi Ikulu "Mpinzani" in case PM anatoka upinzani?!
Yaaa, inawezekana likawa limenishinda, kwani tunagombana hadi uje kasi kiasi hicho, tuelekezane tu taratibu, ninavyofahamu anaanza Raisi, Makamu, Speaker then jaji mkuu n.k
I stand to be corrected.
 
Back
Top Bottom