Rais Magufuli na HESLB wazidi kuonesha wanavyowajali wanafunzi

wandamba

JF-Expert Member
Apr 29, 2014
510
839
MIKOPO YA WANAFUNZI ELIMU YA JUU

Serikali ya awamu ya Tano inayoongozwa na Rais Dk. John Pombe Magufuli imezidi kuonyesha namna inavyowajali Waafunzi wa elimu ya juu kwa kutoa mikopo zaidi kwa Wanafunzi waliokata rufaa na kuonekana wanastahili kupewa mikopo. Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), imetangaza jumla ya wanafunzi 2679 waliofanikiwa kupata mkopo katika maombi yao ya rufaa.

Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo, Abdul-RAzaq Badru, ameeleza kuwa kati ya wanafuzi 4200 waliokata rufaa, wanafunzi 2679 wamefanikiwa kupata mikopo yao katika mwaka wa masomo 2017/18.

Mkurugenzi Badru ameeleza kuwa kati ya wanafunzi hao 2769 waliopata mikopo, wanafunzi 1847 ni wa mwaka wa kwanza ambao mkopo wao umegharimu kiasi cha shilingi 6.84 bilioni na wanafunzi 832 waliobakia ni wa naoendelea (mwaka wa 2,3 na 4) ambao mkopo wao umegharimu shilingi 2.75 bilioni.

Ikumbukwe kwa mwaka huu wa 2017/18 Serikali ilianza kutoa mikopo ya elimu ya juu kwa Wanafunzi wa mwaka wa kwanza mnamo Oktoba 26, 2017. Kiasi cha shilingi bilioni 72.2 mpaka sasa kimetolewa kwa ajili ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu wapatao 21,677 kati ya wanafunzi 30,000 wa mwaka wa kwanza waliopangwa kupatiwa mikopo yenye thamani ya shilingi bilioni 108.8 kwa mwaka wa masomo 2017/2018.

Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Bw. Abdul-Razaq Badru imesema kuwa idadi ya wanafunzi waliobaki wapatao 8,323watapangiwa mikopo yenye thamani ya shilingi bilioni 36.6 katika awamu inayofuata ili kukamilisha idadi iliyopangwa.

Idadi ya wanafunzi 21,677 waliokwishapangiwa mikopo na ambao wamedahiliwa katika vyuo mbalimbali vya elimu ya juu vinavyotambulika; ni asilimia 72.2 ya wanafunzi 30,000wanaotarajiwa kunufaika na mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu kwa mwaka wa masomo 2017/2018.

Awamu hii ya Dk. Magufuli ni awamu ya vitendo zaidi, ni awamu ya kazi tu. HAPA KAZI TU
 
Haya tumekusikia subiri kupewa udiwani maana mavyeo ni mengi
 
Una maana amefanya hivyo ili asifiwe au ni katika kutimiza majukumu yake?

Huna adabu hata kidogo.

Endeleeni kununua watu.
 
tafuta tena orodha ya wenye vigezo na sifa waliokosa mkopo na kushindwa kuendelea na masomo kisha uje tena hapa
 
wanafunzi wanaofurahia kupatamikopo wakumbuke 15% mara tu wakimaliza. Kukopa harusi kulipa ........................
 
Bombadier inatua lini? Au mzungu ameshawachezeshea kekundu keusi!!

Mnatia huruma sana.
Sasa unafurahia au unauliza swali!ni swala la muda,kwani mmeshamaliza kumzika mbwa wa mheshimiwa?akili za makarai wanazijuaga wenyewe
 
Ambush in the night
Protected by his majesty!

Dog becomes a hero!
And deserves heroic funeral

Nilidhani hata uone aibu kwa nia yenu ovu.
 
Haaa haaa ni shida ya chama cha siasa badala ya kufanya siasa kimekuwa chama cha matukio bora tukisajili kuwa NGOs, chama ambacho kimeshindwa kuwa na political agenda badala yake kimekuwa personal attacker.Hivi agenda kuu ya chama ni ipi kuzika mbwa kiheshima kwa sababu amekuwa A hero au ni kukwama kwa bombadier au CCM wananunua watu embu nijuze ndugu karai wa ufipa
 
Ccm chama cha manunuzi hamtudanganyi bali mnajidanganya wenyewe!
 
Haya kama mlivyoambiwa mkipata mikopo kanunueni bidhaa Mlimani city kuna 70% off. Hiyo yote ni kwa hisani ya watu wa call me jay.
 
Wanaficha extension joints..... sijui inaandikwa ivo????
 
unaongea upuuz gan wewe n sisi tulioctsha mwaka je ambao tpo nyumban tulikosa n hatna hata cent tano ya kulipa kwa ajil y kfanya usajil maana kuappeal ilikuwa n kwa wale waliofka chuo n kfanya usajili fikir kabla y kuandka
 
Hivi ni kweli walio appeal ni 4200 tu au kuna mahali majina yapunguzwa kabla ya kufika bodi ya mikopo?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom