Rais Magufuli na CCM wamefanikiwa sana katika kutekeleza ilani ya uchaguzi kwenye sera ya Michezo na Sanaa

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,853
141,784
Kiukweli kwa upande wa michezo, burudani na sanaa hadi sasa tunatembea vifua mbele.

Timu tatu za mkoa wa Dsm kushiriki mashindano ya kimataifa Afrika zikiwa ni Simba, Yanga na Azam.....hongera kwa RC Makonda pia.

Timu ya taifa yaani Taifa stars kesho inaelekea Misri kushiriki fainali za Afcon
Kadhalika Mbwana Samatta anatuwakilisha vizuri kama taifa kule anakokipiga nikimaanisha Ubelgiji na yawezekana huwa anamsupport ndugu yetu Tundu Lisu kwa mahitaji madogo madogo.

Ni hayo machache.
Maendeleo hayana vyama

cc: Wakudadavuwa!
 
True, hakuna ubishi
 
Mwakyembe alinuniwa na bosi wake mwezi mzima tulipofungwa na lesotho,tungepoteza na uganda Mwakyembe angetimuliwa
Bado riadha na ndondi sasa
 
Hakuna uhusiano wowote kati ya ccm, Rais Magufuli, Paul Makonda, na hayo mafanikio katika michezo. Mkitaka tuwasifie walau kidogo; Rudisheni kwanza viwanja vyetu vyote mlivyokwapua baada ya nchi kuingia mfumo wa vyama vingi na kujimilikisha. Gaweni vyote kwa halmashauri zetu na kuandaa sera na mikakati kwa kila halmashauri kuvisimamia na kuviendeleza.
 
Jpm ni nafsi ya kweli anastahili pongezi sana kwa huu Usawa anao pambana kuumalizia kuuweka.

Napo zungumnzia Usawa nazungumnzia Ukiwa na Uwezo wa kufikiria na Kutenda vizuri Serikali itakufikisha unapoitaji kufika kwa kukushika mkono vyema.

Sifanyi makosa nilio fanya 2015 najutia mpaka kesho.
 
Hakika mkuu wengi hawatarudia makosa ya kuchagua " mahaba" 2020 maana ni kupoteza kura yako bure!
 
Jpm ni Rais ambae sijawahi kumuona Afrika kwa miaka yangu hii nilio Ishi Duniani, Ni Baraka kubwa sana kupata kiongozi wa namna hii.

Jinsi anavyo nikuna na utendaji kazi wake nashindwa hata nisemeje!! Ila nacho kijua Tanzania ya Miaka Mitano ijayo itakuwa juu kwa Wote hasa wapenda kufanya kazi na wenye vipaumbele katika Maisha.
 
Kiukweli kwa upande wa michezo, burudani na sanaa hadi sasa tunatembea vifua mbele.

Timu tatu za mkoa wa Dsm kushiriki mashindano ya kimataifa Afrika zikiwa ni Simba, Yanga na Azam.....hongera kwa RC Makonda pia.

Timu ya taifa yaani Taifa stars kesho inaelekea Misri kushiriki fainali za Afcon
Kadhalika Mbwana Samatta anatuwakilisha vizuri kama taifa kule anakokipiga nikimaanisha Ubelgiji na yawezekana huwa anamsupport ndugu yetu Tundu Lisu kwa mahitaji madogo madogo.

Ni hayo machache.
Maendeleo hayana vyama

cc: Wakudadavuwa!
Ongezea na hii ,ilani ya ccm pia ndio iliyo mfikisha samata hapo alipo.
 
Mwakyembe alinuniwa na bosi wake mwezi mzima tulipofungwa na lesotho,tungepoteza na uganda Mwakyembe angetimuliwa
Bado riadha na ndondi sasa
Kwenye riadha naona shida ni viongozi wao kwenye ndondi sina uhakika maana sio mpenzi wa huu mchezo, hata TFF na Simba wangekuwa ni viongozi walewale tusingeambulia kitu.
 
Praise and worship team hamchoki tu kumsifia sifa za kijinga huyo bwana wenu.
 
Kiukweli kwa upande wa michezo, burudani na sanaa hadi sasa tunatembea vifua mbele.

Timu tatu za mkoa wa Dsm kushiriki mashindano ya kimataifa Afrika zikiwa ni Simba, Yanga na Azam.....hongera kwa RC Makonda pia.

Timu ya taifa yaani Taifa stars kesho inaelekea Misri kushiriki fainali za Afcon
Kadhalika Mbwana Samatta anatuwakilisha vizuri kama taifa kule anakokipiga nikimaanisha Ubelgiji na yawezekana huwa anamsupport ndugu yetu Tundu Lisu kwa mahitaji madogo madogo.

Ni hayo machache.
Maendeleo hayana vyama

cc: Wakudadavuwa!
KMC ya dar pia
 
Back
Top Bottom