mtima nyongo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 1,947
- 2,047
inakuaje watu wazima na akili zao timamu na wengine ni wasomi hasa
kutwa kucha wanamsifia rais kuwa ni mchapakazi na mwadilifu na wakati huo huo awamwelezi ukweli au hata ushauri
kuhusu jipu sugu la zanzibar au mpaka lifikie kama la burundi?
hiki ndio kinachofanya mzungu atuzarau kwa sababu tulikua mstari wa mbele kutatua migogoro ya sudani kusini
na mataifa mengine sasa leo yametufika yapo ndani ya taifa letu lakini watu wamekaa kimya tu na suti zao
ifike atua watanzania tuache unafiki tutende haki.
kuna msemo wa mcheza filamu wa usa.
bruce wills kwamba mungu alishaiacha afrika miaka mingi tu kwa hiyo waache wauane(rise of the sun)