Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,944
- 18,653
Kifo cha Rais mstaafu Benjamin W Mkapa ni Pengo kubwa sana katika uchaguzi wa mwaka huu.
Kwa mwenendo wa uchaguzi wa mwaka huu, hali sio ya kuchukulia poa kama CCM ilivyokuwa ikifikiria. Ukimya wa watu miaka 5 usiwadanganye wana CCM kuwa uchaguzi huu ni mwepesi. Watu wamebeba mengi kwenye Nafsi zao. Watu wanataka kutumua sanduku la kura kuonesha hisia zao.
Rais Magufuli unatakiwa utambue kuwa, huu uchaguzi ni mgumu sana haijawai tokea hapa Tanzania na ukiudharau utakushangaza.
Rais Mstaafu J. Kikwete ni mmoja wa viongozi wenye upawa mkubwa wa kuvuta hisia za watu.
Rais Magufuli, Jisushe na Muombe Mh Kikwete aje akusaidia kufanya kampeni. Hutaweza wewe peke yako. Kumbuka bado siku 50+. Uliyekuwa ukimtegemea sana ndiyo hivyo Mungu kampenda zaidi. Sasa mtumie aliyebaki anaweza kuwa msaada mkubwa kwako zaidi ya hata uliyekuwa ukimtegemea.
Aliyekudanganya kuwa wasanii ndiyo watakupa kura, mchunguze kwa umakini sana. Anawezakuwa anafaidika kupitia posho za ao wasanii. Ila ukweli ukiangalia mikutano yako imejaa watoto na wanawake tu ambao wanavutiwa na wasanii tu.