Rais Magufuli mulika na wanafunzi wa Astashahada walio under 18 kwenye University Institutions

Mapambano Yetu

JF-Expert Member
Aug 14, 2012
1,121
2,064
Rais wetu Dr JPM mimba kwa watoto sio mashuleni tu. Hata vyuoni zimejaa, na huko hali ni mbaya sana.

Unakuta Binti ana miaka 15 yuko kwenye university institution anasoma certificate/diploma. Huyu naye chuo kinamchukulia kama mtu mzima na anajiongoza anavyotaka yeye.

Wengi hawawezi kujiendesha na vyuo havina muda na masuala ya nidhamu + maadili.

Watoto hawa ndo wanaongoza kwa kuchafua vyuo maana wanayoyafanya (walio wengi) hayafai hata kuzungumzwa maana wanakuwa mbali na uangalizi kutoka kwa wazazi /walezi wao.

binafsi napendekeza umri uangaliwe kwa wanafunzi wanaopata elimu kwenye university institutions kama hawajafikia level ya degree.
 
Attachments

  • IMG-20170623-WA0009.jpg
    IMG-20170623-WA0009.jpg
    34.8 KB · Views: 43
Mwisho mtasema Magu awe anawapima.....kabla kuingia na kutoka vyuoni! Suala la maadili ni mtambuka kwa jamii nzima....anzia nyumba ibada jamii nzima familia na hata nchi nzima!!! Sio suala la mtu mmoja kuweka tamko au sheria!!!
 
Rais wetu Dr JPM mimba kwa watoto sio mashuleni tu. Hata vyuoni zimejaa, na huko hali ni mbaya sana.

Unakuta Binti ana miaka 15 yuko kwenye university institution anasoma certificate/diploma. Huyu naye chuo kinamchukulia kama mtu mzima na anajiongoza anavyotaka yeye.

Wengi hawawezi kujiendesha na vyuo havina muda na masuala ya nidhamu + maadili.

Watoto hawa ndo wanaongoza kwa kuchafua vyuo maana wanayoyafanya (walio wengi) hayafai hata kuzungumzwa maana wanakuwa mbali na uangalizi kutoka kwa wazazi /walezi wao.

binafsi napendekeza umri uangaliwe kwa wanafunzi wanaopata elimu kwenye university institutions kama hawajafikia level ya degree.
Si mlisema wafyatue mtasomesha, achane watu wazae sasa.
 
vyuoni ni tayari mtu anasomea fani
mwache atundikwe mimba kwani ndipo anapotarajia kuanzisha familia yake
 
Back
Top Bottom