Rais Magufuli: Mtu akitaka kukiona cha moto ajaribu kumshambulia Mwana-CCM aliyevaa kijani

Rais Magufuli anasema kama mtu anataka kukiona cha moto ajaribu kumshambulia Mwana-CCM yeyote aliyevaa kijani.

Mimi najiuliza, je wananchi wanaovaa kaki hawana haki ya kulindwa?

Tuna rais mbaguzi sijawai kuona yaani wakina mawazo mpaka waliuawa na watu kibao wanashambuliwa kisa wamevaa kaki hakuna hatua zinazochukuliwa.

Tuna Rais mbaguzi sana.
....kisha JPM akaongeza " hao wa vyama vingine pigeni risasi kabsaaa! na atakaye jitia kimberembele kuwaombea naye aswekwe ndani mara moja!".......
 
Huyu mzee sijui hua anafikiria nini kabla ya kuongea, juzi kaombwa msaada wa maji alieomba akaambiwa akamuombe mume wake, au diwani wake (upinzani) au mbunge wake (upinzani).

Leo anasema viongozi wawatumikie wananchi wote bila kubagua chama, itikadi, wala dini kwani manendeleo hayana vyama.

Leo tena anatoa KINGA kwa wanaovaa kijani (wanachama wa CCM).

#Hizi kampeni za uchaguzi wa urais #2020 zitasababisha tafrani kuelekea uchaguzi mkuu, tusubiri upinzani waanzishe amsha amsha kwenye uchaguzi mkuu kwa KUTUMIA KAULI ZA MKULU.
kumuambia mtu akaombe mume wake maji na wewe ndie raisi inaoyesha vile huyu magufuli amepungukiwa na akili
 
Personally i think and see that magufuli has very very serious mental problems, his mental state is not oky, and aslo if you see a person who talks 2 diffrent things concerning the same issue know that person will soon be a resident at a mental hospital. how can a president tell the people he claim to rule to go and ask for water from their mps coz this area is represented by the opposition??? every tz citizen pays taxes irrespective of the party which she-he belongs to , this magufuli is a disaster in waitting

development has no party, then he accused and shame a poor woman over there, just because their mp is from opposition.wahed
 
1570720829646.png
 
No presidential material!
Haya unaweza kuyaona ni madogo lakini madhara yake ni makubwa due tutafika stage tuanze ulizana makabila kama ilivyo kwa kenya ko umoja wetu hautakuwepo kwa ss hivi ni uhasama unajengwe tu miongoni mwa watu kwa kuona kuwa kundi moja linabebwa zaid kwao wataona kila wanachofanya ni sahihi hata kama ni kinyume na utaratibu
 
Kugawa watu unaona ni jambo dogo? akishathubutu kuyajenga hayo alafu akagawa watu na watu kuyaaribu...faida ni nini sasa? kama unayaita kugawa watu ni jambo dogo basi inabidi ujiangalie sana.
Aende Kigali Rwanda kwenye makumbusho ya mauaji ya kimbari ya mwaka 1994 ili akajionee mwenyewe mafuvu ya watu waliouawa kutokana na siasa chafu na hatari za kuwagawa Watu/wananchi.
 
Rais Magufuli anasema kama mtu anataka kukiona cha moto ajaribu kumshambulia Mwana-CCM yeyote aliyevaa kijani.

Mimi najiuliza, je wananchi wanaovaa kaki hawana haki ya kulindwa?

Tuna rais mbaguzi sijawai kuona yaani wakina mawazo mpaka waliuawa na watu kibao wanashambuliwa kisa wamevaa kaki hakuna hatua zinazochukuliwa.

Tuna Rais mbaguzi sana.
Hata shetani ana upendo
 
Umebaguliwa kwa kipi?
 
Hii ni ishara kwamba amegunduwa kuwa watu wamechoka rangi ya kijani.Lakini amesahau kauri ya JK wakati ana adhimisha moja ya sherehe ya kuzaliwa chama chao akiwa rais,alisema,"watu wataichoka CCM si kwa sababu imefanya vibaya sana,hapana,ni kwa sababu tu ipo madarakani kwa muda mrefu,watu wameichoka ".Kwa hiyo ajiandae tu kisaikolojia.Bila dola,HAKUNA CCM.
 
Boss technically Nikukumbushe tu aka Na Kumbuka .... Machafuko yoyote ... Huletwa na Kiongozi ... Viongozi.

Ni kuwa tu sijui wanajisahau, au kufanya makusudi.

Rais Magufuli anasema kama mtu anataka kukiona cha moto ajaribu kumshambulia Mwana-CCM yeyote aliyevaa kijani.

Mimi najiuliza, je wananchi wanaovaa kaki hawana haki ya kulindwa?

Tuna rais mbaguzi sijawai kuona yaani wakina mawazo mpaka waliuawa na watu kibao wanashambuliwa kisa wamevaa kaki hakuna hatua zinazochukuliwa.

Tuna Rais mbaguzi sana.
 
Kabla ya kuuliza hilo inabidi ujiulize ulishawahi kuona mtu kavaa kaki au gwanda akizomewa au kupigwa kwa ajili ya vazi? Kama yupo mtaje tuanzie hapo, na kuhusu kupigana hilo ni swala lingine walishapiwa wa chadema na pi hivyo hivyo wa ccm walishapigwa ajili ya siasa hilo lipo., mki nadhani tatizo lipo mtu akivaa nguo ya kujani watu wanaanza kumtukana bila sababu hilo ndo nadhani anakemea.
 
Attachments

  • images.jpeg
    images.jpeg
    9 KB · Views: 1
Magufuli ni rais mzuri sana ila vitu vinavyomshushia hadhi ni vidogo vidogo sana

Anakosa utashi sio kama tu kiongozi bali kama gentleman

lakini namkubali kwa kuwa ana uthubutu kwa mambo makubwa mapungufu yake ni hayo ya kugawa watu
Ubaguzi ni kama rangi ya ngozi huwezi ificha kamwe!!
 
Kipindi Fulani cha Awamu ya Nne lilikuwa ni kosa la jinai kwa MwanaCCM kuonekana amevaa nguo au kofia ya kijani. Kila mtu mwenye akili timamu analijua hili. WanaCCM hawakuwahi kulalamika. Sasa, na mimi naunga mkono, watakaowapiga waliovaa kijani nao WAPIGWE KIPIGO CHA MBWA KOKO!
Mashoga wamo humu kumbe!!!
 
Back
Top Bottom