....kisha JPM akaongeza " hao wa vyama vingine pigeni risasi kabsaaa! na atakaye jitia kimberembele kuwaombea naye aswekwe ndani mara moja!".......Rais Magufuli anasema kama mtu anataka kukiona cha moto ajaribu kumshambulia Mwana-CCM yeyote aliyevaa kijani.
Mimi najiuliza, je wananchi wanaovaa kaki hawana haki ya kulindwa?
Tuna rais mbaguzi sijawai kuona yaani wakina mawazo mpaka waliuawa na watu kibao wanashambuliwa kisa wamevaa kaki hakuna hatua zinazochukuliwa.
Tuna Rais mbaguzi sana.