Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 11,654
- 8,586
Kipindi Fulani cha Awamu ya Nne lilikuwa ni kosa la jinai kwa MwanaCCM kuonekana amevaa nguo au kofia ya kijani. Kila mtu mwenye akili timamu analijua hili. WanaCCM hawakuwahi kulalamika. Sasa, na mimi naunga mkono, watakaowapiga waliovaa kijani nao WAPIGWE KIPIGO CHA MBWA KOKO!Rais Magufuli anasema kama mtu anataka kukiona cha moto ajaribu kumshambulia Mwana-CCM yeyote aliyevaa kijani.
Mimi najiuliza, je wananchi wanaovaa kaki hawana haki ya kulindwa?
Tuna rais mbaguzi sijawai kuona yaani wakina mawazo mpaka waliuawa na watu kibao wanashambuliwa kisa wamevaa kaki hakuna hatua zinazochukuliwa.
Tuna Rais mbaguzi sana.