Rais Magufuli: Mtu akitaka kukiona cha moto ajaribu kumshambulia Mwana-CCM aliyevaa kijani

Rais Magufuli anasema kama mtu anataka kukiona cha moto ajaribu kumshambulia Mwana-CCM yeyote aliyevaa kijani.

Mimi najiuliza, je wananchi wanaovaa kaki hawana haki ya kulindwa?

Tuna rais mbaguzi sijawai kuona yaani wakina mawazo mpaka waliuawa na watu kibao wanashambuliwa kisa wamevaa kaki hakuna hatua zinazochukuliwa.

Tuna Rais mbaguzi sana.
Kipindi Fulani cha Awamu ya Nne lilikuwa ni kosa la jinai kwa MwanaCCM kuonekana amevaa nguo au kofia ya kijani. Kila mtu mwenye akili timamu analijua hili. WanaCCM hawakuwahi kulalamika. Sasa, na mimi naunga mkono, watakaowapiga waliovaa kijani nao WAPIGWE KIPIGO CHA MBWA KOKO!
 
TANAPA wameambiwa wachimbe bwawa na wasombe maji ili viboko waendelee kuishi.........

Watu wa ekolojia sijui wanasemaje kuhusu hili.
Sasa kama lengo ni viboko waendelee kuishi wasiwasi wako nini?

Au wasi wasi wako ni udongo utakaokua misplaced kutengeneza mabwawa una environmental hazards?
 
.
dawa.jpeg
 
Yaani mtu anayeongoza nchi yenye watu takiriban 60ml halafu hahubiri umoja wa watu wake uzuri wake unaona wapi mkuu! Kauli anazotoa haziendani kabisa na umoja walioasisi viongozi wetu.

Hivi leo hii watu wa Dodoma wawe na chuki na watu wa Mwanza hayo unayoyaona mazuri yanafaa nini?. Wanaosema ana upendo na huruma sijui wanaonaje

UPENDO hauna ubaguzi, hauna chuki, hauna husuda, hauna ubabe, hauna kiburi, hauna kisingizo, haujifanyi mtakatifu. Upendo humsikiliza kila mtu kwa unyenyekevu na upole
Nonsense bro, u are wrong by more than 100% and it's funny that u are out of context. Moja; mmechukua kipengele ktk hotba. Pili; hajasema differences za watu kimkoa unless mwenzetu una lako and by far u want to magnify it. Hata leo ukapewa ujumbe wa kupeleka kwenye jamii yako lazima utaufikisha tofauti na ulivyoagizwa kwasababu u have a big interpretative error in your brain by the way u need to change your mind set. Msijenge lugha za ukabila pasipo na ulazima.
 
Magufuli ni rais mzuri sana ila vitu vinavyomshushia hadhi ni vidogo vidogo sana

Anakosa utashi sio kama tu kiongozi bali kama gentleman

lakini namkubali kwa kuwa ana uthubutu kwa mambo makubwa mapungufu yake ni hayo ya kugawa watu
ni bora angekuwa hana uthubutu lkn angekuwa mwenye kutengeneza umoja. hata uthubutu ambao unaona anao ni uthubutu wa kisiasa tu sio wa ki utendaji. unazungumziaje issue ya mkuu wa mkoa wa morogoro na daressalam kufanana makosa lkn kakosa uthubutu kwa Makonda?
 
Ukabila uingieje wakati yeye kazungumzia CCM. Nyie ndo kila jambo mnalichukulia kikanda something very wrong. Kama hukubaliani na maneno yake usihusishe kablia lake kila mtu na zake mkichwa
muu kama anaanza kutubagua kichama hyo ya ukabila n kama unagusa tu maana ashalionyesha mwanz wkt wa kubomoa nyumba,haya mambo yanajiotea kama uyoga usitake kujitia ukipofu huku unaujua ukwel,Nyerere hakuwa mjinga kuhimiza umoja kati yetu ila iv unaonyeshwa upendeleo wa waz kabixa,iv unajua tamko la Rais lina madhara gan kwa wanajamii,ss iv watz watajiamulia tu makusud kuvunja sheria kwa watu wasio wa mrengo kisa na maana wakijua kabixa kuna mtu anaewatetea na n untouchable,think big brth
 
He is not that old is just a middle age man who is distructed. Ni dogo kwetu wengine shuleni.
Najaribu kuwaza tu kama huyu mtu angetawala Mwalimu Kambarage Nyerere angekuwa bado yupo, sijui ingekuwaje, maanake najua Mwalimu asingekaa kimya.
 
Rais Magufuli anasema kama mtu anataka kukiona cha moto ajaribu kumshambulia Mwana-CCM yeyote aliyevaa kijani.

Mimi najiuliza, je wananchi wanaovaa kaki hawana haki ya kulindwa?

Tuna rais mbaguzi sijawai kuona yaani wakina mawazo mpaka waliuawa na watu kibao wanashambuliwa kisa wamevaa kaki hakuna hatua zinazochukuliwa.

Tuna Rais mbaguzi sana.

"Ushamba tu"
by Nappe & Makamba Family
 
Nonsense bro, u are wrong by more than 100% and it's funny that u are out of context. Moja; mmechukua kipengele ktk hotba. Pili; hajasema differences za watu kimkoa unless mwenzetu una lako and by far u want to magnify it. Hata leo ukapewa ujumbe wa kupeleka kwenye jamii yako lazima utaufikisha tofauti na ulivyoagizwa kwasababu u have a big interpretative error in your brain by the way u need to change your mind set. Msijenge lugha za ukabila pasipo na ulazima.
Badala ya kuniandikia mimi nilifikiri tuungane ili tuwe pamoja kujenga ushikamano ambao viongozi walitangulia wametuachia! Leo ukianza kutofautisha watu kwa ukanda then what next, kumbuka kila ukanda unamakabila tofauti. then kama kiongozi wa nchi anapaswa kuwabagua watu kwa vyama? then what next, kwa sababu kuna kanda ambazo wapinzani wana nguvu na zingine chama tawala wana nguvu.

Basi tuungane mimi na wewe tumwombee aongezewe hekima na busara ili aone kwa uwazi zaidi kipi kinajenga umoja na kipi kinabomoa
 
Nyinyi mnaoshindwa kutenganisha utani wa mheshimiwa rais ndio mna matatizo.
Mnasema hamumpendi ok!
Lakini kutwa nzima mnafuatilia mambo yake kulikoni?
Na kadri mnavyouona ule umati ndio mnazidi changanyikiwa.2020 nayo iko mbioni hii hapo
Duh

#we stand for JPM 2025
 
Rais Magufuli anasema kama mtu anataka kukiona cha moto ajaribu kumshambulia Mwana-CCM yeyote aliyevaa kijani.

Mimi najiuliza, je wananchi wanaovaa kaki hawana haki ya kulindwa?

Tuna rais mbaguzi sijawai kuona yaani wakina mawazo mpaka waliuawa na watu kibao wanashambuliwa kisa wamevaa kaki hakuna hatua zinazochukuliwa.

Tuna Rais mbaguzi sana.
Kwani kasem wa gwanda wapigwe? Acha wivu.
 
Huyu mzee sijui hua anafikiria nini kabla ya kuongea, juzi kaombwa msaada wa maji alieomba akaambiwa akamuombe mume wake, au diwani wake (upinzani) au mbunge wake (upinzani).

Leo anasema viongozi wawatumikie wananchi wote bila kubagua chama, itikadi, wala dini kwani manendeleo hayana vyama.

Leo tena anatoa KINGA kwa wanaovaa kijani (wanachama wa CCM).

#Hizi kampeni za uchaguzi wa urais #2020 zitasababisha tafrani kuelekea uchaguzi mkuu, tusubiri upinzani waanzishe amsha amsha kwenye uchaguzi mkuu kwa KUTUMIA KAULI ZA MKULU.
Personally i think and see that magufuli has very very serious mental problems, his mental state is not oky, and aslo if you see a person who talks 2 diffrent things concerning the same issue know that person will soon be a resident at a mental hospital. how can a president tell the people he claim to rule to go and ask for water from their mps coz this area is represented by the opposition??? every tz citizen pays taxes irrespective of the party which she-he belongs to , this magufuli is a disaster in waitting
 
muu kama anaanza kutubagua kichama hyo ya ukabila n kama unagusa tu maana ashalionyesha mwanz wkt wa kubomoa nyumba,haya mambo yanajiotea kama uyoga usitake kujitia ukipofu huku unaujua ukwel,Nyerere hakuwa mjinga kuhimiza umoja kati yetu ila iv unaonyeshwa upendeleo wa waz kabixa,iv unajua tamko la Rais lina madhara gan kwa wanajamii,ss iv watz watajiamulia tu makusud kuvunja sheria kwa watu wasio wa mrengo kisa na maana wakijua kabixa kuna mtu anaewatetea na n untouchable,think big brth
Are sure kwamba majengo yaliyokuwa pembezoni mwa Barbara ya airport mwanza hayakuvunjwa ili kupisha upanuzi wa barabara hivyo?. Barbara iliyoumiza makazi ya watu ni ile ya kibamba
Badala ya kuniandikia mimi nilifikiri tuungane ili tuwe pamoja kujenga ushikamano ambao viongozi walitangulia wametuachia! Leo ukianza kutofautisha watu kwa ukanda then what next, kumbuka kila ukanda unamakabila tofauti. then kama kiongozi wa nchi anapaswa kuwabagua watu kwa vyama? then what next, kwa sababu kuna kanda ambazo wapinzani wana nguvu na zingine chama tawala wana nguvu.

Basi tuungane mimi na wewe tumwombee aongezewe hekima na busara ili aone kwa uwazi zaidi kipi kinajenga umoja na kipi kinabomoa
anyway,, poa
 
Anapoyasema anayoyasema anajua kuna wajinga wanaoamini anasema kweli.
Na anapoyasema haya, lengo lake ni nini, 'wajinga wamsifu?
swali la kifalsafa,
Ukiwa mwongo uwe na kumbukumbu.
Leo kazindua ka-jibarabara huko katavi kasema TUMEJENGA WA FEDHA ZETU NA KODI ZA WANYONGE, baada ya dakika tatu akasahau kadanganya AKASEMA " NCHI HII INA AMANI NDIO MAANA ADB[BENKI YA MAENDELEO AFRIKA] imetukopesha fedha za ujenzi wa hiyo barabara.

duh, okay atatubu jumapili, na kwakuwa anatembea na ma-gambosh wa Sumbawanga hamba shida
 
Back
Top Bottom