Rais Magufuli: Mtu akipotea, marufuku kuhusisha vyombo vya Dola, utakamatwa na utoe ushahidi

Lissu alishasema tuna Rais wa ajabu sana hatukumuelewa imagine wakina Lissu walishasema wanafawatiliwa na usalama wa Taifa na wakatoa taarifa rasmi Ben Sanane alisema kabisa anatishwa kwasababu ya kuikosoa elimu ya Magu wote hawa walipata cha mtema kuni sasa kwanini tusivinyoshee vidole vyombo vya usakama hasa Tiss? Kwahiyo mkituteka tukae kimya tusiseme mmetuteka pumbavu kabisa.
 
Kama ni hivyo nami nashauri watanzania tujihami na hao watekaji kwa kupiga yowe la majambazi ili hata kama ni vyombo vya usalama basi wakaendeleze utekaji peponi. Zakaria was very right to shoot them. Wananchi walitakiwa wawaponde mawe
Duuuu, kuna Watu Vilaza hivi unafikilia ni rahisi hivyo. Kuna Wengine unakula nao, unalala nao, Wanakufundisha, ni ndugu zako, Marafiki zako so how you going to Manage. Chamsingi hakikisha unatoa taarifa kwa vyombo vya dola. Tuache kudanganywa na akili za Wapiga dili kama akina Lisu, Kabwe ambao kula yao inategemea namna gani amedanganya watu na amewafurahisha vipi wahisani wao kwa kutufarakanisha Watanzania.
Watanzania tunajielewa hatudanganyiki, labda kawadanganye Mateja wala ngada
 
Duuuu, kuna Watu Vilaza hivi unafikilia ni rahisi hivyo. Kuna Wengine unakula nao, unalala nao, Wanakufundisha, ni ndugu zako, Marafiki zako so how you going to Manage. Chamsingi hakikisha unatoa taarifa kwa vyombo vya dola. Tuache kudanganywa na akili za Wapiga dili kama akina Lisu, Kabwe ambao kula yao inategemea namna gani amedanganya watu na amewafurahisha vipi wahisani wao kwa kutufarakanisha Watanzania.
Watanzania tunajielewa hatudanganyiki, labda kawadanganye Mateja wala ngada
Daaah hivi nchi hii kuna viumbe wanaofikiri hivi??
 
Chakaza,
Siyo raia wote wanaotambua haya! Ujinga ndio mtaji kwa sasa. Werevu ni wachache sana hivyo hakuna litakalofanyika isipokuwa ni kutawaliwa tu na kukubali yaishe!
 
RAIS MAGUFULI "HUYO ANA USHAHIDI, MSHIKENI MPAKA ATOE USHAHIDI"

Siku hizi kumekuwa na tabia ya hovyo imejitokeza kwa baadhi ya Watanzania wachache. Kila kitu kinachofanywa ni Usalama wa Taifa, mtu akipotea siku mbili hata kama hajapotea yupo kwa mpenzi wake ni Usalama wa Taifa.

Niviombe vyombo vyetu vya Ulinzi na Usalama likiwemo Jeshi la Polisi ambao huwa mnashughulikia wahalifu, msiwaache wahalifu waanze kuchafua vyombo vya Ulinzi na Usalama. Mtu akizungumza amempotea huyu ana ushahidi mshikeni mpaka atoe ushahidi.

Mawazo yangu:

Kama hawahusiki waliopotea nani kawachukua? Wasiojulikana ni kina nani?

Crediti to Vitalis

Simple questions to ask yourself

Kwanini ni Usalama wa Taifa, kwanini tusiseme ni maharamia wa Kisomali, kwanini sio Al Shabab, Kwanini sio watu wengine wowote? Kwanini TISS?

Kama sio TISS kwanini sio hao niliotaja hapo juu ambao wangekwisha kamatwa?

Ni kwanini wanaitwa wasiojulikana?

Je, hayo majeshi ya vyombo vya ulinzi na usalama wamefeli kiasi hicho cha kutokamata hata mmoja?

Tujiulize majeshi yetu ni ya kukaa kambini tuu na kubaini wale wanaotaka kujinyonga siku za karibuni?

Majeshi yetu ni ya kubaini kuwa kutokana na intelijensia kwenye kikao au mkutano wa chama fulani kunategemewa kuwa na vurugu na badala yake kuzuia Kikao au mkutano?

USHAURI.

Majeshi ya Ulinzi na Usalama wao ndio wanatakiwa kutuhakikishia kuwa sio TISS kwa kukamata wale wote wasiojulikana ili jamii itokane na dhana hiyo.
View attachment 1320570
Hili jambazi lilitufikisha kiwango cha lami! Linatupa TISS wateke na kupoteza/kuua halafu linatishia watu wasiseme! Jambazi pekee aliyechukua nchi akaua kila aliyetofautiana naye akasurvive!
 
Magufuli alikua Mwendawazimu, Samia atatuwekea mafali yake toka Mirembe.

32C9F62D-836E-4381-9D92-F3EB2D366F5E.jpeg
 
Back
Top Bottom