Rais Magufuli: Mtu akipotea, marufuku kuhusisha vyombo vya Dola, utakamatwa na utoe ushahidi

Ni sawa kabisa,tena itungwe sheria Kali dhidi ya vyombo vya habari vinavyohusika kutoa taarifa za uzushi kama hizi ili Iwe mwisho wa upuuzi huu,mtu amekamatwa let's say na polisi mijitu inasema ametekwa,mtu yuko offline kwa matatizo ya mtandao wanadai ametekwa,hatuwezi kufika kwa kuendekeza upuuzi kama huu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha mnatengeneza mtego wa Panya
 
Tujiulize, kwa nini huko nyuma haya hayakuwepo? Lkn utekaji upo au haupo na mbona haongelei majaliwa ya wale ambao hawajaonekana kwa miaka kadhaa sasa.

Je mtu akitekwa kweli na watu wakashuhudia na kwa siku kadhaa asionekane watu wakae kimya tu mbona hii inaturahisishia tujue watekaji ni akina nani.

Watu wengine wanajiweka kwenye mazingira magumu wenyewe kiasi kwamba wakiondoka madarakani hawawi salama. Very hopeless indeed.
 
Ni sawa kabisa,tena itungwe sheria Kali dhidi ya vyombo vya habari vinavyohusika kutoa taarifa za uzushi kama hizi ili Iwe mwisho wa upuuzi huu,mtu amekamatwa let's say na polisi mijitu inasema ametekwa,mtu yuko offline kwa matatizo ya mtandao wanadai ametekwa,hatuwezi kufika kwa kuendekeza upuuzi kama huu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mmeibuka kama mapunguani kushingilia maagizo ya kipuuzi Kama haya? Roma, Mdude, Mo, Azory, Lissu, Ben walikuwa kwa hawala zake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni sawa kabisa,tena itungwe sheria Kali dhidi ya vyombo vya habari vinavyohusika kutoa taarifa za uzushi kama hizi ili Iwe mwisho wa upuuzi huu,mtu amekamatwa let's say na polisi mijitu inasema ametekwa,mtu yuko offline kwa matatizo ya mtandao wanadai ametekwa,hatuwezi kufika kwa kuendekeza upuuzi kama huu

Sent using Jamii Forums mobile app

Ben Saanane yuko offline mpaka leo? Hata wakoloni walitunga sheria za kutisha wananchi ili wawatawale vizuri, hivyo mnaweza kutunga hiyo sheria hata leo, lakini inafahamika hii tabia ya kuteka imeshika kasi lini, na hiyo sheria lengo lake sio kulinda vyombo vya usalama visichafuliwe, bali lengo lake ni kunyamazisha watu wasihoji ili waendelee kutekwa. Itungwe hiyo sheria, lakini ikija serikali isiyoteka itafuta hiyo sheria.
 
Kuita kundi la kijajusi usalama wa taifa ni laana. Ni kivipi majasusi wakawekwa sawa na mambo ya usalama? viundwe vyombo mahususi maswala ya ujasusi na usalama.

TISS itengwe kama ilivyo sasa ujasusi uwe peke ake na usalama uwekwe idara pekee mfano iwepo TIS(Tanzania Intelligence services) Na TSA(Tanzania security Agency).

hapo ndo tutakwenda sawa ujasusi wa TISS ni wa kidola na wala haupo kiuchumi wala hauna mlengo wa kimaendeleo.
 
Mzee mmoja alimpandisha kijana wake juu fensi, akamwambia kijana wake 'ruka chin nitakudaka' kijana akaruka then Mzee akamkwepa, Kijana akadondoka chini, kijana alilia kwa uchungu akamuuliza Baba ake kwanini umeniacha nianguke?

Baba ake akamwambia nlitaka ujifunze kutoamin mtu/ watu.
 
Waliopo karibu ya rais wanisaidie kuniulizia,hivi kazi ya police siku hizi ni nini? Yaani hata mimi nisipooneka for two days,niwe nimefungiwa ndani na jimama au nguo zangu zimelowekwa,mama atakwenda police au popote anapoona anaweza kupata msaada kuriport kuwa nimepotea then ni jukumu la police kufanya uchunguzi na kutoa taarifa kama ni kweli nilikuwa nimepotea au nilikuwa kwa hawara shame on him
Mama yako anaweza akaisaidia polisi kwa maelezo yake kama lini alikuona wewe mara ya mwisho? Ulivaa nguo gani? Uliondoka katika mazingira gani? Nakadhalika na kadhalika. Alafu wao wanaendelea zaidi mpaka upatikane au uachiwe huru na huyo lijimama wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom