Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 18,716
- 28,622
Mheshimiwa rais wetu mpendwa mimi kama mkazi wa Mwanza nakuomba umteue Siyantemi awe mkuu wetu wa mkoa.
Huyu aliyepo anapwaya sana yaani hajui hata majukumu yake na hana solution za hapo hapo kila kitu nitaenda kuunda tume, yaani hatufai kwa ujumla mtoe Siyantemi Arusha mlete hapa Mwanza awe mkuu wetu wa mkoa.
Nitafurahi sana kama ukishugulikia ombi langu mimi kama mkazi wa mkoa wa Mwanza.