Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 13,497
- 51,090
Wala siyo kosa kikatiba, na wala siyo kumshushia hadhi, maana kuhudumia nchi katika ngazi yoyote ile ni heshima.
Raisi Kikwete ni mtaalamu wa diplomasia, ana uwezo mkubwa wa kukusaidia kuweka sawa mambo mengi ya diplomasia yetu.
Siyo siri, diplomasia yetu imepwaya sana siku za karibuni. Hata ile vision yetu ya kuifanya diplomasia yetu kuwa ya kiuchumi nayo naona inakwenda arijojo.
Katika nyakati hizi ambazo nchi inahitaji uwekezaji mkubwa na kuongeza watalii na kufungua masoko ya mazao yetu nje ya nchi, tunahitaji mtu mwenye charisma, connections, uzoefu na anayejua priorities za nchi yetu katika malengo ya kutuletea maendeleo.
Tunahitaji mtu presentable ambaye anaweza kuproject calmness, soberness na seriousness katika positions zetu.
Mimi naamini japo Kikwete ameshahudumu kama raisi, lakini katiba haimfungi kuhudumu kama mbunge (wa kuteuliwa) na hatimaye kuhudumu katika position ya uwaziri
Je atakubali au atakataa, naamini atakubali, naamini atakubali kwa sababu huyu ni mwanajeshi aliyeapa kulitumikia taifa pindi likihitaji huduma yake.
Kwa nini Kabudi hatoshi?. Jibu ni rahisi tu, hana experience ya diplomasia. Ni too theoretical na pia ana jeuri ya Usomi. Diplomacy haitaki mtu kuproject strength zako mbele ya counterparts wako as if unataka uwe on top of them kwa elimu yako, nguvu za uchumi wako, jeshi lako etc, bali diplomacy inataka soft power ulizonazo zijiproject zenyewe huku ukiendelea kufuata protocol za diplomacy.
Rais Magufuli, muombe mzee mwenzako JK umteue ubunge umpe hiyo Wizara akutengenezee diplomasia ya uchumi kwa manufaa ya nchi.
Katika nchi mbalimbali duniani, mtu kuhudumu kwenye nafasi ya juu ya nchi kisha baadae kuhudumu kwenye nafasi za chini siyo jambo la ajabu, Netanyshu, Shimon Peres mara kadhaa wamehudumu kama mawaziri wakuu na pia mawaziri wa kawaida.
Huu utamaduni siyo mbaya kwetu iwapo mtu ana potential ya kulisaidia Taifa katika capacity hiyo