Rais Magufuli mteue Adrian Mduda akusaidie

Mishenyi

JF-Expert Member
Oct 6, 2019
464
748
Nimekutana na huyu kamanda Adrian Mduda ambaye ni mkuu wa Chuo cha magereza kiwira-mbeya ni mtu mwerevu sana,mwadilifu kuliko pia mwenye kujituma sana.

Mheshimiwa Rais Magufuli ukimuona huyu jamaa ukamteua anaweza kukusaidia katika kuijenga Tanzania unayoitamani.

Ni hayo tu Rais nimewasilisha ushauri wangu kwako.
 
Nimekutana na huyu kamanda Adrian Mduda ambaye ni mkuu wa Chuo cha magereza kiwira-mbeya ni mtu mwerevu sana,mwadilifu kuliko pia mwenye kujituma sana.Mh.Magufuli ukimuona huyu jamaa ukamteua anaweza kukusaidia katika kuijenga Tanzania unayoitamani. Ni hayo tu mh.rais nimewasilisha ushauri wangu kwako.
Sawa Bw Mduda, naona umeamua kujianzishia na uzi kabsaaaa
 
Nimekutana na huyu kamanda Adrian Mduda ambaye ni mkuu wa Chuo cha magereza kiwira-mbeya ni mtu mwerevu sana,mwadilifu kuliko pia mwenye kujituma sana.Mh.Magufuli ukimuona huyu jamaa ukamteua anaweza kukusaidia katika kuijenga Tanzania unayoitamani. Ni hayo tu mh.rais nimewasilisha ushauri wangu kwako.
sasa utafanyaje aamini kuwa wewe siye Adriani Mduda unajipigia chapuo
 
Magereza wana vichwa sana hila serikali km imewatupa hivi, makamanda wapo wengi wanapigana hila wakistaafu sijawahi waona kwenye ramani tena
 
Nimekutana na huyu kamanda Adrian Mduda ambaye ni mkuu wa Chuo cha magereza kiwira-mbeya ni mtu mwerevu sana,mwadilifu kuliko pia mwenye kujituma sana.Mh.Magufuli ukimuona huyu jamaa ukamteua anaweza kukusaidia katika kuijenga Tanzania unayoitamani. Ni hayo tu mh.rais nimewasilisha ushauri wangu kwako.

Rais na Taasisi yake nzima ya Ikulu huwa haiteui Watu kwakuwa tu wanapigiwa hivi ' Upatu ' Mitandaoni bali kuna taratibu unazozijua na zile usizojijua ambazo kwa pamoja zinapelekea Mtu Kuteuliwa na hata Kutumbuliwa vile vile. Tuache Kumpangia Rais ateue Watu ambao baadae wakishateuliwa mnaanza kuwa ' Tegemezi ' Kwao kwa Kuanzia Chai ya Asubuhi, Chakula cha Mchana na hadi kile cha Usiku. Kama huyu Mtu wako Tajwa hapa angekuwa mzuri hivi unavyomsifia sidhani kama Taasisi muhimu ya Rais ambayo huwa ina Jicho pana lisingemuona. Tena kwa Kumpigia Kwako ' debe ' hivi ndiyo umemuharibia kabisa na wala hatoteuliwa tena hivyo kama ulikuwa unataka ateuliwe ili Maisha yako yaanze Kubadilika na Vyuma vyako vilegee sasa anza Kujiandaa Kisaikolojia kwani Vyuma ndiyo Vitakukazia ile mbaya.
 
Hivi una akili kweli wewe!!! Natumia ha

Hivi una akili kweli wewe!!? Natumia haki yangu ya kutoa maoni kumshauri rais we unanitisha!! Kwani nimekosea wapi??? Rais hawezi kuona kila mahali hivyo tunao wajibu kumshauri japo halazimiki kuzingatia ushauri wetu,,,umezoea kujipendekeza sana unafikiri hata mi ni hivyo hivyo,ukweli mi siyo tajiri lakini sina tamaa na mikate ya ulimwengu,,,,mungu akuondolee tongo tongo ujione ulivyo dhaifu wa akili
 
Ndiyo umeshamkosesha sasa Mwenzako ' Ulaji ' hivyo kama ulikuwa unategemea ' ateuliwe ' ili Ugumu wako wa Maisha yanayokukabili upungue kwa ' Kumdoea ' Misosi na Pesa sasa ndiyo utaongezeka ' Maradufu ' Ndugu. Nashauri kama huko Kijijini Kwako kuna hata Shamba anza Kujifunza jinsi ya Kulima ila kwa sasa Mjini kunaenda Kukushinda na utatuachia tu wenyewe ' Mabaharia ' tuliouzoea huu Mji huku tukijua wapi tunaingia na wapi tunatokea huku Maisha yakienda. Na nani aliyekuambia kuwa Rais haoni kila mahala? Hivi unajua kuwa Rais ni Taasisi inayojumuisha Idara nyingi muhimu na siyo tu huyu Dkt. Magufuli mnayemuona nyie? Yaani Jambo kama hili dogo tu hata Wewe unayejiita Msomi umeshindwa ' Kuling'aumua ' tu? Pole sana!
 
Rais na Taasisi yake nzima ya Ikulu huwa haiteui Watu kwakuwa tu wanapigiwa hivi ' Upatu ' Mitandaoni bali kuna taratibu unazozijua na zile usizojijua ambazo kwa pamoja zinapelekea Mtu Kuteuliwa na hata Kutumbuliwa vile vile. Tuache Kumpangia Rais ateue Watu ambao baadae wakishateuliwa mnaanza kuwa ' Tegemezi ' Kwao kwa Kuanzia Chai ya Asubuhi, Chakula cha Mchana na hadi kile cha Usiku. Kama huyu Mtu wako Tajwa hapa angekuwa mzuri hivi unavyomsifia sidhani kama Taasisi muhimu ya Rais ambayo huwa ina Jicho pana lisingemuona. Tena kwa Kumpigia Kwako ' debe ' hivi ndiyo umemuharibia kabisa na wala hatoteuliwa tena hivyo kama ulikuwa unataka ateuliwe ili Maisha yako yaanze Kubadilika na Vyuma vyako vilegee sasa anza Kujiandaa Kisaikolojia kwani Vyuma ndiyo Vitakukazia ile mbaya.
ACHA UONGO WEWE...NDALICHAKO, KITILA, MTATIRO, N.K YOTE NI MATOKEO YA JAMIIFORUMS.
MAGUFULI NA MAWAZIRI WAKE WAPO HUMU USIKU KUCHA WANACHUKUA MAWAZO YA GREAT THINKERS. HAO TISS NDIO USISEME WENGINE WANAHESABIA JF KAMA MOJA YA ASSIGNMENTS ZAO.
 
Ulielewa vyema Hoja yangu niliyoiweka hadharani au Maharage yaliyochacha uliyoyala muda si mrefu yameanza Kukuvimbia yakianzia ' Ubongoni ' mwako pengine ndiyo maana ' Umekurupuka ' hivi Ndugu?
 
Inawezekana kabisa huyo Adrian akawa mchapakazi mzuri sana, na inawezekana wewe usiwe huyo Mduda, lakini shida ipo pale unaposhawishi ateuliwe. Si kwamba wote wasioteuliwa ni wabaya. Si kwamba wote wanaoteuliwa pia ndio wazuri. Kila kazi inatakiwa ifanywe vizuri. Tunataka balozi wa nyumba kumi mchapakazi, nurse mchapakazi, sekretari mchapakazi, mkuu wa chuo cha Magereza mchapakazi n.k.

Sio kila kizuri kipewe majukumu mapya, labda kama majukumu mengine yanahitaji watumishi wabaya.

Lakini pia usimwombee ndugu yako kuteuliwa, kwani akianguka; anguko lake huwa kuu. Atashindwa hata kurudi kwenye kazi yake ya awali.
 
Back
Top Bottom