Rais Magufuli: Msimamo wangu wa kutoteua upinzani bado upo palepale

Cjui kwann hakumchagua le mubebez jmn ,mtu ana degree tatu na mamastaz hlf anampigania bashite usiku na mchana dah nimeumia mno
Ila kweli kiubinadamu na kwa historia ya mzee wake na kwa jinsi anavyojipendekeza angemfikiria LE MUTUZ hata U DC, mbona akina Bashite wanajikongoja kimagumashi na mambo yanakwenda
 
Mwenyekiti mwenyewe kaona kwake kumejaa uozo kaanza kuteuwa wa vyama vingine :) ukiona mpaka mwenye nyumba anakimbilia kuomba hifadh kwa jirani ujue uvundo wa nyumbani mwake haustahimiliki
 
Maza huko kili ukakae chonjo, make hatukawii kuona notification from msigwa anasema utasubiri kupangiwa kazi nyingine
 
Rais Magufuli akiongea baada ya kumuapisha Anna Mghwira kuwa mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro alisema kuna watu wanahoji alikuwa amezungumza hatoteua wapinzani amesema watu wanatakiwa waelewe alikuwa anazungumza katika maeneo gani,
Amesema alizungumza akiwa Zanzibar na msimamo wa kutoteua mbunge wa upinzani kutoka nafasi 10 za ubunge upo pale pale na ameshateua 9 bado nafasi moja

Amesema wapo watakaomuonea wivu kutoka CCM, Chadema kwa sababu hakuchagua huko japo wengi wanamuomba omba ila anataka upinzani uwepo


Wakuu mimi sijamuelewa kabisa, hata kama angesemea china kubwa hapa alisema au hakusema?
 
Hata chadema waliwahi kuapa majukwaan lowassa ni mwizi lkn sasa wanampigia magoti

Hata viongoz wa juu wa chadema wanavizia nafasi za uteuzi za JPM, wewe unajitia huzitaki

Ukipewa hata kaz ya usafi ikulu naamini hutaiacha ipite
Ni kama walopeleka miswada ya dharula bungeni kuruhusu rasilimali za taifa hasa madini yaporwe kwa manufaa ya akina mkapa na ccm yao ati leo wanampongeza tena magufuli Juu ya suala la mchanga.

Apa wanajitoa ufahamu kuwa ata magufuli alikuwa mbunge kipindi icho kuwa ata naye alipiga kura ya ndioooo.... Kifupi izi ghiriba mkamghiribu bibi yenu
 
VIWANDA VIKO WAPI LAKINI ....???
Washakwambia ata vyeleani vinne tu ktk korido yako ni kiwanda... Ah ah walidhan kuendesha nchi ni masiala na ndo mwisho wanakuwa na hasira na yeyote anayepita mbele yao Mara oooh sijaribiwi.
Ndg mchezo huu hauitaji hasira
 
Ndugu yangu kuongoza nchi sio kuuza meno kwenye vyombo vya habari ,it is a serious business !!
 
Wapo kweli wanaoombwa kuteuliwa. Jana Mtatiro alifuata nini kwa Makonda? Halafu akarusha kwenye media yeye mwenyewe. Si kuomba kuteuliwa huko au?
Tumwache rais aongoze anavyotaka kwani katiba inamruhusu.
 
Rais Magufuli akiongea baada ya kumuapisha Anna Mghwira kuwa mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro alisema kuna watu wanahoji alikuwa amezungumza hatoteua wapinzani amesema watu wanatakiwa waelewe alikuwa anazungumza katika maeneo gani,
Amesema alizungumza akiwa Zanzibar na msimamo wa kutoteua mbunge wa upinzani kutoka nafasi 10 za ubunge upo pale pale na ameshateua 9 bado nafasi moja

Amesema wapo watakaomuonea wivu kutoka CCM, Chadema kwa sababu hakuchagua huko japo wengi wanamuomba omba ila anataka upinzani uwepo



Mheshiwa rais wakati anatamka hatamteua mpinzani hakutamka kuwa ni nafasi ya ubunge ila alitamka hatamteua mtu wa upinzani kwenye serikali yake. Nafasi ya mkuu wa mkoa na katibu mkuu wa wizara bado tunatafakari kama siyo sehemu ya serikali. Lakini pia Zanzibar ndo wabague na Tanganyika isibague? Kiukweli ni maswali magumu kwa wasio wanasiasa
 
hopeless..
Kumbe aliposema hakuna mpinzani atatia mguu kwenye serikali yake alimaanisha binge..
Kumbe bunge ndio serikali yake..
Mbona bungeni ndiko waliko akina Lissu..
Kwani shein aliwashirikisha akina sefu kwenye baraza la wawakilishi tu ?
kiladha..
Mpinzani umemteua amekua rais wa mkoa..umshirikisheje tena..
haha dufuu..
 
Back
Top Bottom