Rais Magufuli: Mkoa wa Njombe hasa mji wa Makambako ndio mji wenye nyumba na Makazi bora Tanzania

Mkuu unajua maana ya 85%?
Mkoa wa Kilimandjaro makaz ya vijin Ni Bora kwa 85% hakn mkoa wowote wenye kiwango hicho kwasasa
Umezungumzia sijui njia panda ya himo
VP ulifika rombo,hai,siha,Moshi vijijin include kibosho, uru,old Moshi etc?
Mkuu Njombe inanza kujenga Kama sis lkn ukweli n kuwa haiwez kutufkia hata robo
KARIBU KILIMANJAROView attachment 1078310View attachment 1078315
Nipo Moshi hayo maeneo nayafaham nufaham Mkoa wa Kilimanjaro na Pia naufaham pia Mkoa wa Njombe kutokana na kazi ya field ninayofanya

Ikifanyika assessment mpya ambayo n current zaidi itakuja na matokeo tofauti hasa kwa Makazi

Kuna changes kubwa sana Njombe unlike Kilimanjaro ambako maeneo ya Same na Mwanga ndiyo yapo hovyo sana
N kweli kuwa Kilimanjaro ilikuwa ndio sehem ya Kwanza kabisa kuwa na Makazi bora
 
kiufupi nilichojifunzaga jamii forum ikiletwa maada yoyote kuhusu maendeleo sijui nini na nini maada zote inaishiaga kubaki mchagga anabishana na watu,,na kiufupi makabila mengi kwa tafiti zangu za haraka hawawapendi wachagga...siku zote awali ni awali,,mm nafaya issue za research consultancies,, hii tanzania mpk kule kwa mtengimbole nimefikaga lakn nikisema niyaongee ntaonekana najipendelea kisa ni mchaga,,wacha nibaki na siri zangu mwenyeweee,,ila haina mantiki pambaneni na kazi na mkubali aliowatangulia alitangulia tuu..mmeiga mifano kwa wachaga ndio mnagutuka kwa sasa mnaanza kupambana..ninsawa leo dodoma ni jiji lkn haliwez kuwa km dsm..dar itabaki kuwa dar maana ilitangulia,,so shout up meen,,fanyeni kazi..
 
Sawa consultant, hapa shout up meen ulikua unamaanisha nini?
 
Hata Kwa Mpa
Leo tarehe 11 April 2019,Akiwa mji wa Makambako mheshimiwa Rais amekiri wazi kuwa hajawahi ona mji Tanzania uliopangwa na kuwa na nyumba bora za Makazi kama Mkoa wa Njombe hasa mji wa Makambako

Ameomba mawaziri wakawaelimisha maeneo wanayotoka sehemu ya kujifunza nyumba bora ni Njombe

Yeye binafsi amekiri mkoa wake na mikoa mingi Tanzania hawaufikii mji wa Makambako

Ameshauri watu wakajifunze mkoa wa Njombe hasa mji wa Makambako

Hongereni Makambako
Hata Kwa Mpalange pia ...
 
Wachaga wangekuwa n'a uchawi kusingekuwa n'a maendeleo
Ukinga ndio funga kazi kuna mganga wenu anaitwa maandulami anawapa hela za kudonoa bila kumsahau mwakipande, uchagani uliwahi ona upuuz huo? Bahati nzuri tz yote nimekaa hunidanganyi popote

Sent using Jamii Forums mobile app
kiufupi kama hujawahi jua mkoa unaoongoza kwa mataahira na vichaa ni nyanda za juu kusini esp. njombe hunidanganyi kokote mpk kidegembye nimekaaa,,hamna kijiji yoyote njombe siijui na kila nikipita vichaa wawili au watatu hapo mafinga na makambako wako wa kumwaga,,uzuri nimesoma mafinga shule siitaji lkn huniambii kitu waking kwa kafara hawajambo
 
FB_IMG_16814490424044113.jpg
FB_IMG_16777220132761310.jpg
FB_IMG_16806290994664780.jpg
FB_IMG_16711575343117412.jpg
IMG_20220904_183641_633-scaled.jpg
 
Makambako inazidi kubadilika tu
FB_IMG_16845900060798164.jpg
IMG-20230514-WA0019.jpg
IMG-20230506-WA0000.jpg
IMG-20230316-WA0027.jpg
FB_IMG_16849036402247826.jpg
fb_img_16840315451143779-2-jpg.2649645
 
Attachments

  • FB_IMG_16840315451143779~2.jpg
    FB_IMG_16840315451143779~2.jpg
    37.2 KB · Views: 6
kiufupi nilichojifunzaga jamii forum ikiletwa maada yoyote kuhusu maendeleo sijui nini na nini maada zote inaishiaga kubaki mchagga anabishana na watu,,na kiufupi makabila mengi kwa tafiti zangu za haraka hawawapendi wachagga...siku zote awali ni awali,,mm nafaya issue za research consultancies,, hii tanzania mpk kule kwa mtengimbole nimefikaga lakn nikisema niyaongee ntaonekana najipendelea kisa ni mchaga,,wacha nibaki na siri zangu mwenyeweee,,ila haina mantiki pambaneni na kazi na mkubali aliowatangulia alitangulia tuu..mmeiga mifano kwa wachaga ndio mnagutuka kwa sasa mnaanza kupambana..ninsawa leo dodoma ni jiji lkn haliwez kuwa km dsm..dar itabaki kuwa dar maana ilitangulia,,so shout up meen,,fanyeni kazi..
Tuwachukie wachaga Ili tufaidike na nini hasa?
 
Leo tarehe 11 April 2019,Akiwa mji wa Makambako mheshimiwa Rais amekiri wazi kuwa hajawahi ona mji Tanzania uliopangwa na kuwa na nyumba bora za Makazi kama Mkoa wa Njombe hasa mji wa Makambako

Ameomba mawaziri wakawaelimisha maeneo wanayotoka sehemu ya kujifunza nyumba bora ni Njombe

Yeye binafsi amekiri mkoa wake na mikoa mingi Tanzania hawaufikii mji wa Makambako

Ameshauri watu wakajifunze mkoa wa Njombe hasa mji wa Makambako

Hongereni Makambako
Bila image huu Uzi hauna maana😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom