Rais Magufuli: Mimi sijaribiwi, wasije kunijaribu. Atakayeleta vurugu atashughulikiwa bila huruma!

Sikweli mlisema hivyo hatakukabidhiwa chama eti zikipigwa kula siri atakaliwa matokeo YAKE kapata kula zote nyie Wote hamjui mnenalo mwacheni aendeshe nchi siasa zimepitwa na mudawake
Kwani hivi ule uchaguzi wa ccm unamjua waliopewa jukumu la kuhesabu kura!? Kura zilipigwa sawa lakini matokeo ilikuwa ni maamuzi ya wakubwa na si wajumbe wa mkutano mkuu.
 
Hakuna anayetaka kukujaribu kwa lolote lile. Wakujaribu ili iweje? Watanzania tunataka ufahamu kwamba nchi hii ni ya vyama vingi ambavyo ni lazima viongozi wake na wabunge wake waheshimiwe na nchi hii pia ina katiba yake ambayo imeruhusi vyama vingi.

Hivyo ni lazima uheshimu katiba ya nchi na siyo kukurupuka na mihemuko yako na kuleta taratibu ambazo hazimo kwenye katiba za kutaka kuidharau katiba ya nchi na kuwadharau viongozi na wabunge wa vyama vya upinzani.

Wewe ndiyo ulete tafrani nchini halafu ukipingwa na unakurupuka kama kama kawaida yako eti hujaribiwi! Heshimu katiba ya nchi, heshimu viongozi na wabunge wote wa upinzani na ukae ukijua hakuna anayetaka kukujaribu bali watu wanatetea katiba ya nchi.
 
Ushabiki wa kijinga kama huu ni hatari kwa mustakabali wa Taifa. Hizo fujo ziko wapi?
Mkuu hilo ndio linaloshangaza. Hakuna mkutano ambao umefanywa na vyama vya upinzani pakatokea fujo ambazo labda ndio kingekuwa kigezo...hakuna! Sasa hizi fujo, vurugu, uchochezi vinatoka wapi? Kwanini serikali inatoa ruzuku kwa hivi vyama kama haviruhusiwi kufanya siasa!? Serikali ya JPM ifanye hivi, ipeleke mswada wa kufuta vyama vingi kwenye katiba bungeni. kwa kuwa CCM ina wabunge wengi wala haitapata shida kupitishwa huo mswada.
 
Magufuli ni Mwokozi asema mwanasiasa Dovutwa kwa mujibu wa gazeti la uhuru.Haya maneno yana ujumbe MZITO SANA hasa unapolitafakari kwa KINA neno la Mungu na lapendeza sana kutamkwa na mkongwe kama Dovutwa,Haleluya.
Nyie endeleeni tu na mijadala yenu ila issue ya kuingiza jocks kws Mungu sina hakika kama mnajua madhara yake.
 
Nendeni mahakamani kumshtaki aliyevunja Katiba au sheria. Mnaoshinikiza kuandamana ni wavunjaji wa Katiba. Mkiandamana, sheria itachukua mkondo wake ndiyo mtambue nguvu ya Katiba (Sehemu ya Tatu: Haki na WajibuMuhimu) mnayodai inavunjwa.

Laiti ungelijua ulichokiandika!!!!!!!!
 
Hakuna anayetaka kukujaribu kwa lolote lile. Wakujaribu ili iweje? Watanzania tunataka ufahamu kwamba nchi hii ni ya vyama vingi ambavyo ni lazima viongozi wake na wabunge wake waheshimiwe na nchi hii pia ina katiba yake ambayo imeruhusi vyama vingi.

Hivyo ni lazima uheshimu katiba ya nchi na siyo kukurupuka na mihemuko yako na kuleta taratibu ambazo hazimo kwenye katiba za kutaka kuidharau katiba ya nchi na kuwadharau viongozi na wabunge wa vyama vya upinzani.

Wewe ndiyo ulete tafrani nchini halafu ukipingwa na unakurupuka kama kama kawaida yako eti hujaribiwi! Heshimu katiba ya nchi, heshimu viongozi na wabunge wote wa upinzani na ukae ukijua hakuna anayetaka kukujaribu bali watu wanatetea katiba ya nchi.

Kwa kuanzia huku eti hajaribiwi ajiandae na mass grave, stays wengi kama Burundi. Yetu macho
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Sisi wananchi wa Tanzania tunajivunia kuwa Watanzania kwa wingi wetu na umoja wetu.Kila mmoja wetu afanye wajibu wake kwa akili na maarifa,sio muda wakutafuta au kusaka shari.Tuchukie dhuruma uvivu,na uozo wa aina zote.
 
1469807208776.jpg

Ndo hali halisi
 
Ndio siasa hizo.

Ulishawahi kuona ikitokea kuku akanasa mfuko wa nylon kwenye mguu wake? kila akikimbia anahisi anakimbizwa na kila akizidisha mbio anaona dubwana linazidi kumkaribia. Asipopata mtu wa kumsaidia kuuondoa ule mfuko au bahati nzuri ukanasa kwenye kichaka au kijiti ukatoka mguuni anaweza kukimbia hadi akafariki.

Mwenye masikio na asikie. Mwenye akili na atafakari.
Mkuu@Utotole umemaliza kabisa.
 
Hello friends; I Nyamoni Warioba from Tanzania, I have been nominated for the YOUTH CITIZEN ENTREPRENEURSHIP Competition in the Best Idea 2016 Category. I would be happy if you support my idea with Comments and Votes. You can support my Ideas by:

a) Voting for it

b) Commenting and Giving positive feedback that can help to improve my project. Go to this link. www.entrepreneurship-campus.org/ideas/4/ click Best ideas 2016 then click VOTE FOR BEST IDEAS, all Nominees names will appear and then Select idea titled "EMPOWERING GIRLS THROUGH FORMING A FOOTBALL TEAM" you will see the name NYAMONI WARIOBA with a Ball photograph attached, Just click VOTE at the Orange bar.

" Please I need your Votes for winning this competition" Your votes and comments will be valued; VOTING deadline will be 31/08/2016. Please share with friends groups.
 
huyu jamaa watamuua kwa pressure..
na wajanja wameshamjua,wanarusha jiwe moja wanasikizia jinsi mtu anavyomwaga povu,
likikauka wanarusha lingine,povu tena..
unakuta akipiga spichi akimaliza vidonge..
uh uh !! pressure !
Nahisi yule jamaa mrefu sana wa border anamdanganya.......anyway time will tell, JK was brilliant for this......
 
Back
Top Bottom