Rais Magufuli mfute machozi Jerry Slaa

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,014
8,368
hamjambo, wadau?

kupitia hapa jukwaani namshukuru mkuu wa kaya kwa kumfuta machozi ndugu yangu DAM MBAYA, naomba hasimsahau, yule kijana hata kama ni kambi ya KAMILIUS, hampe shavu jamani maana sjamuona popote wala simskiiii, kabsa, jamani kijana mwenzangu. mkereketwa wa CCM

au Vetting yake imeleta majibu hasi?
 
hamjambo, wadau?

kupitia hapa jukwaani namshukuru mkuu wa kaya kwa kumfuta machozi ndugu yangu DAM MBAYA, naomba hasimsahaau, yule kijana hata kama ni kambi ya KAMILIUS, hampe shavu jamani maana sjamuona popote wara simskiiii, kabsa, jamani kijana mwenzangu. mkereketwa wa ccm.

au Vetting yake imeleta majibu hasi?
Jerry alkua Team EL..FYI mbona wengi team Mtama wameteuliwa..julize why J!?
 
naisi vetting imegoma maana nasikia jamaa anachunguza watu mpaka anataka kujua kama walizaliwa hosptal au nyumbani je ni mtt wa ngapi? du basi mwambieni aje tulime pamoja hapa kimbangulire.
 
hamjambo, wadau?

kupitia hapa jukwaani namshukuru mkuu wa kaya kwa kumfuta machozi ndugu yangu DAM MBAYA, naomba hasimsahaau, yule kijana hata kama ni kambi ya KAMILIUS, hampe shavu jamani maana sjamuona popote wara simskiiii, kabsa, jamani kijana mwenzangu. mkereketwa wa ccm.

au Vetting yake imeleta majibu hasi?
Hasimsahau =asimsahau
Hampe = ampe
 
naisi vetting imegoma maana nasikia jamaa anachunguza watu mpaka anataka kujua kama walizaliwa hosptal au nyumbani je ni mtt wa ngapi? du basi mwambieni aje tulime pamoja hapa kimbangulire.
Angekuwa anachunguza asingekuwa anajichanganya kwenye Teuzi zake kila Mara anafanya marekebisho...Huyo jamaa huenda Amevurugana na walioshika mpini
 
hamjambo, wadau?

kupitia hapa jukwaani namshukuru mkuu wa kaya kwa kumfuta machozi ndugu yangu DAM MBAYA, naomba hasimsahau, yule kijana hata kama ni kambi ya KAMILIUS, hampe shavu jamani maana sjamuona popote wala simskiiii, kabsa, jamani kijana mwenzangu. mkereketwa wa CCM

au Vetting yake imeleta majibu hasi?
Ujumbe mzito lakini lugha mbovu.
 
Usimkumbushe machungu huyu meja mstaafu Wa wilaya ya ilala atahusahau huu uchaguzi uliopita
 
Yupo kitaa anaisoma namba.,walikua waimbaji wazuri sana hao.
Hawakujua kua namba usomaji wake ulikua kivingine.
Arudi Dareda na dongobesh akalime vitunguu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom