Ndungulila
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 317
- 94
Hapa sio China ukiwa china kuna katiba yaoHivii mkwepa kodi China hufanywaje,,,,,
Hapa sio China ukiwa china kuna katiba yaoHivii mkwepa kodi China hufanywaje,,,,,
Rais John Magufuli aliyaongea hayo jana alipokuwa akiongea kwenye sherehe za uzinduzi wa mwaka mpya wa sheria, alisema kuna watu wanakutwa na ushahidi wa wazi kabisa lakini kuna mawakili wanaoenda kuwatetea, mawakili hao wanatakiwa kuwekwa rumande waonje joto ili hata wakitoka wajifunze kutokutetea wahalifu...
Uaminifu gani na uzalendo gani hapo? Haki ya binadamu wengine kutetewa haitaki?Conceptually, JPM anazungumzia uaminifu na uzalendo. Nampa heko
Hoja yako?
Kuna shida kubwa sana endapo mtu unashindwa kuwa na hata uwezo wa kufikiri pande zote katika jambo lolote mtu unafikiri upande mmoja tu na kutoa maamuzi na mtu wa hivyo unamapungufu makubwa sana ya uelewa wa mambo, maana ni lazima jambo lolote kabla ya kuliamua angalia madhara na faida kwanza na hilo wenye kuliweza ni wenye akili kubwa pekee, kama una akili ndogo itakuwa ni mwendo wa kukosea na kufanya marekebisho kila siku. Shida ipo kubwa sana.Kubambikiwa kesi ipo sana, wengi wamefungwa kwa kesi za kutengeneza za uonevu na sasa kwa maneno ya mkulu wabambikaji kesi wataongezeka kinachofuata ni kuomba Mungu anakuwpusha na wabambikaji kesi vinginevyo magereza yatajaa wafungwa wasio na hatia bali kwa uonevu tu.
Kuna wakati mambo hayaendi kwa kufuata sheria inabidi kuipindisha kidogo.Kauli kama hizi zakutojali sheria wala katiba zimepelekea pikipiki na magari yanang'olewa tairi utadhani Hanna sheria za barabarani.
Jitahidi ipo siku utakumbukwa kama watoa ukungu wengine.Kazi ya Rais sio kusoma Mawazo ya Wasaidizi wake, Kazi ya Wasaidizi ni kuandika Mawazo ya Rais na ikitokea Wanayabadili acha amwagike Mubashara!
Miaka 50 iliyopita Ma Rais wamesoma sana Hotuba walizoandikiwa tuakalalamika zimejaa Siasa na Uongo Uongo Mwingi acheni afunguke Kipenzi cha Wanyonge!
Jitahidi ipo siku utakumbukwa kama watoa ukungu wengine.
Tamko la jukwaani si sheria.Unatamani Ujinga na umesahau kama sheria ni msumeno walakotekote?! Haya matamko ya majukwaani kugeuka kuwa sheria punde si punde mtasema